njumu za kosovo
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 3,820
- 9,625
Tuachane na yoote hivi sugu ni kiongozi kweli? Mmh haya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We kibuyu wa mbogambogaChama cha wahuni na watukanaji mitandaoni.
Mwenyekiti huyo, ambaye pia ni Mfanyabiashara na Mwekezaji wa Kimataifa mwenye mafanikio, amekutana na Maranja Masese jijini Dar es Salaam na kufanya naye mazungumzo.
Bado haijafahamika hasa kilichozungumzwa , Japo tetesi zinadokeza kwamba Mazungumzo yao yalihusu hali ya kisiasa ya Tanzania, ikiwemo teuzi za Marehemu.
View attachment 3018198View attachment 3018199
Me kibuyu wako tu, hahaWe kibuyu wa mbogamboga
Wale ni WalaaniwaWale wanaolawiti na kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja sio wahuni?
Humjui Masese mkuuMaranja Masese ni chawa aliyekomaa hadi mvi zinamuota bado chawa tu na atakufa bado chawa tu..!!
Usilie Mambo bado!Wewe ungekuwa unajua chochote ungekuwa unakesha mitandaoni kusifiwa wanaume wenzako ?unatia aibu aisee,hivi kweli wewe unaitwa baba flani kweli?
Hivi unajua ukubwa wa Uenyekiti wa Kanda wewe kapuku?Koma kutuletea habari za hawa Wavuta Bange
Mimi ni msema kweli na siyo mtu wa kusifia sifia tu.Erythrocyte is a version of Lucas Mwashambwa, japo ni upande mwingine wa shilingi. Ni kusifu tu na kuabudu mda wote.
Labda kama huna akili, angalia umri wangu hapa Jf halafu mwangalie huyo mjinga mwenzio halafu fananisha na hayo matusi ya nguoni unayonitukana utapata majibuErythrocyte is a version of Lucas Mwashambwa, japo ni upande mwingine wa shilingi. Ni kusifu tu na kuabudu mda wote.
Sikutukani mkuu, ukweli siku zote unaponya. Nyie wote mpo sawa katika sekta hii, ni kusifu hata visivyofaa, ni kuwasujudia hao viongozi wenu mda wote.Labda kama huna akili, angalia umri wangu hapa Jf halafu mwangalie huyo mjinga mwenzio halafu fananisha na hayo matusi ya nguoni unayonitukana utapata majibu
Hivi kuna tajiri anayeweza kusujudia? unaufahamu uwezo wangu kiuchumi? uliwahi kuona naweka namba ya simu humu kuomba kulipiwa pango? Ni vema kuwa na adabu kwa waliokuzidi kila kitu kabla hujadhalilikaSikutukani mkuu, ukweli siku zote unaponya. Nyie wote mpo sawa katika sekta hii, ni kusifu hata visivyofaa, ni kuwasujudia hao viongozi wenu mda wote.
Hivi nikuulize, pamoja na kuwepo humu mda mrefu, huwa unaconcentrate kwenye jambo lolote la kisiasa na kutoka na majibu huru?
Lema,mdude na maseseDah ila Chadema 🙌 sasa huyo masesere ndio nani? Yn mtu akiwa maarufu mitandaoni huko kwa Kuisifia chadomo bc tayari n kiongozi wenu 🗑️
Mkuu,Hivi kuna tajiri anayeweza kusujudia? unaufahamu uwezo wangu kiuchumi? uliwahi kuona naweka namba ya simu humu kuomba kulipiwa pango? Ni vema kuwa na adabu kwa waliokuzidi kila kitu kabla hujadhalilika
Hakika😂 😂 😂
Yaani wanaotoa maoni (negative opinions) kuhusu huu uzi. Hawafikii hata robo ya uwezo wa Martin Maranja Masese
Kwakuwa ww n mke wa hao wanaotoa negative ndio mana unawajua😂 😂 😂
Yaani wanaotoa maoni (negative opinions) kuhusu huu uzi. Hawafikii hata robo ya uwezo wa Martin Maranja Masese
Angers, Grudges na negativity zako haziwezi kukwamisha kitu, mind your business BroKwakuwa ww n mke wa hao wanaotoa negative ndio mana unawajua
Sawa broAngers, Grudges na negativity zako haziwezi kukwamisha kitu, mind your business Bro