Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, leo 12/07/2024, Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa ameongoza Vikao vya Mashauriano vya Mkoa wa Iringa, ambapo ameshirikiana na Mwenyekiti wa Mkoa huo Bilionea William Mungai.
Vikao hivi ni vya kawaida vyenye lengo la kujadili mipango ya chama na kuweka mikakati thabiti kuelekea uchaguzi unaokuja.
Ndio maana ni lazima sana kuweka viongozi wenye nguvu na Afya njema ili kuhimili ratiba ngumu ya vikao na mikutano ya hadhara, huyu Sugu wiki iliyopita alikuwa Kyela, Juzi alikuwa Mbeya Mjini, Jana alirudi Tukuyu lakini leo yuko Iringa, huyu ni aina ya viongozi tunaowataka, ndio walivyokuwa wanafanya akina Nyerere enzi za kudai Uhuru .
Zaidi pata picha kidogo