Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mara kadhaa Mungai amegombea MafingaKuna tetesi kuwa Msigwa kamkimbia bilionea Mungai, kwakuwa aliona hawezi kumshinda ktk mpambano wa ndani ya chama wa kugombea tiketi ya kuteuliwa kuwa mgombea ubunge Iringa Mjini.
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, leo 12/07/2024, Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa ameongoza Vikao vya Mashauriano vya Mkoa wa Iringa, ambapo ameshirikiana na Mwenyekiti wa Mkoa huo Bilionea William Mungai.
Vikao hivi ni vya kawaida vyenye lengo la kujadili mipango ya chama na kuweka mikakati thabiti kuelekea uchaguzi unaokuja.
Ndio maana ni lazima sana kuweka viongozi wenye nguvu na Afya njema ili kuhimili ratiba ngumu ya vikao na mikutano ya hadhara, huyu Sugu wiki iliyopita alikuwa Kyela, Juzi alikuwa Mbeya Mjini, Jana alirudi Tukuyu lakini leo yuko Iringa, huyu ni aina ya viongozi tunaowataka, ndio walivyokuwa wanafanya akina Nyerere enzi za kudai Uhuru .
Zaidi pata picha kidogo
View attachment 3040512View attachment 3040513View attachment 3040515View attachment 3040517View attachment 3040518
Inapendeza sana
Huyo mkenya wa nini ??Mara kadhaa Mungai amegombea Mafinga