Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa Joseph Mbilinyi aongoza Kikao cha Mashauriano Mkoa wa Iringa

Kuna tetesi kuwa Msigwa kamkimbia bilionea Mungai, kwakuwa aliona hawezi kumshinda ktk mpambano wa ndani ya chama wa kugombea tiketi ya kuteuliwa kuwa mgombea ubunge Iringa Mjini.
 
Kuna tetesi kuwa Msigwa kamkimbia bilionea Mungai, kwakuwa aliona hawezi kumshinda ktk mpambano wa ndani ya chama wa kugombea tiketi ya kuteuliwa kuwa mgombea ubunge Iringa Mjini.
Mara kadhaa Mungai amegombea Mafinga
 



Sasa tunaisubiri chadema uchaguzi ujao ije na sera nzuri ya kuinua maisha ya watu wa chini.

Ni lazima tukubali kuwa waafrika na dunia nzuma watu hawapendi kunyonywa. Kampeni zijazo chama kisitumie Chopa ili pesa za kampeni ziwafikie wajumbe wa Shina au msingi. Kule chini ndipo kuna wapiga kampeni wa nyumba kwa nyumba.


Lakini pia tunataka kusikia suala la kupiga bei magari ya kifahari ya serikali .

Kuwalipa posho wenyeviti wa serikali za mitaa.

Kurudisha ardhi iliyouzwa kwa wageni ,kukomboa misitu yetu.

Kilimo cha kisasa kupitia Magereza na JKT.

Kufuta JKT ya kizamani ya kulala kwenye matope na kuondoa vijana akili na ubunifu kichwani na kuwajaza lanyimbo na maneno ya kijinga na matusi badala yake iwe JKT ya kisasa inayowafundisha vijana kazi na uadilifu na ubunifu.

Kuchunguza upya ripoti zote za CAG na kutaifisha mali za watu wote waliohujumu taifa hili tangu uhuru.
 
Mara kadhaa Mungai amegombea Mafinga
Huyo mkenya wa nini ??

Kaka yake ni pandikizi la Kenya aliyekuja kuvuruga elimu yetu.

Chadema mnamkumbatia. Watu wenu hao.

Nyie sio wazalendo kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…