Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa Joseph Mbilinyi kufanya mkutano wa hadhara Mbeya Mjini 10/07/2024

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hatutaki lawama zozote kwamba hatukukuambia Mapema.

Taarifa ikufikie Popote ulipo kwamba, Kiongozi wa Juu zaidi wa Kanda ya Nyasa anapeleka cheo chake kipya nyumbani kwao Mbeya Mjini, kutakuwa na Mkutano Mkubwa wa hadhara unaotarajiwa kuvunja rekodi yake yeye mwenyewe ya Mikutano ya hadhara.

Ikumbukwe kwamba Rekodi ya Mikutano ya Hadhara ya Sugu Mbeya Mjini haijawahi kuvunjwa huku akifuatiwa kwa mbali na Edward Lowassa.

Screenshot_2024-07-09-19-37-07-1.png
 
Agenda inayoendwa zungumziwa ni ipi mkuu ..
 
Hatutaki lawama zozote kwamba hatukukuambia Mapema.

Taarifa ikufikie Popote ulipo kwamba, Kiongozi wa Juu zaidi wa Kanda ya Nyasa anapeleka cheo chake kipya nyumbani kwao Mbeya Mjini, kutakuwa na Mkutano Mkubwa wa hadhara unaotarajiwa kuvunja rekodi yake yeye mwenyewe ya Mikutano ya hadhara.

Ikumbukwe kwamba Rekodi ya Mikutano ya Hadhara ya Sugu Mbeya Mjini haijawahi kuvunjwa huku akifuatiwa kwa mbali na Edward Lowassa.

View attachment 3037864
Kweli chadema mufilsi!
 
Naona na nyie CDM mnaiga ujinga wa CCM kuitumia hiyo stendi ya Kabwe kwa matumizi yenu ya kisiasa. Hili linaleta usumbufu kwa wananchi hasa wanaotumia hiyo stendi na biashara zingine hapo. Kwa nini msitumie viwanja vya pale CCM (ruanda nzovwe) ambavyo ni pakubwa na sehemu sahihi.
 
Tayari majukwaa yashafungwa
 
Back
Top Bottom