Hatutaki lawama zozote kwamba hatukukuambia Mapema.
Taarifa ikufikie Popote ulipo kwamba, Kiongozi wa Juu zaidi wa Kanda ya Nyasa anapeleka cheo chake kipya nyumbani kwao Mbeya Mjini, kutakuwa na Mkutano Mkubwa wa hadhara unaotarajiwa kuvunja rekodi yake yeye mwenyewe ya Mikutano ya hadhara.
Ikumbukwe kwamba Rekodi ya Mikutano ya Hadhara ya Sugu Mbeya Mjini haijawahi kuvunjwa huku akifuatiwa kwa mbali na Edward Lowassa.
View attachment 3037864