Mwenyekiti wa Kijiji afungwa Miaka 20 Jela kwa kuharibu Miundombinu ya Gesi

Mwenyekiti wa Kijiji afungwa Miaka 20 Jela kwa kuharibu Miundombinu ya Gesi

Utii wa sheria ni Kwa watu maskini tuu au?
Kwahiyo ni sahihi wao kwenda kuhujumu miundombinu ya TPDC kwasababu wao ni maskini? Au kwasababu walioiba mabilioni hawakamatwi? Kama unajijua ni maskini jiepushe na mambo ya kihalifu kwasababu utafungwa tu hakuna namna. Wangekuwa na hela wangeweka mawakili nguli labda wangeshinda kesi au kuambiwa walipe faini ya Tsh 50,000. Kisheria hao wana makosa. Kukata rufaa ni haki yao.
 
Sio sahihi ila adhabu iendane na kosa ,huo ni uonezi
 
Wezi wa mabilioni na Mafisadi wanapeta mtaani ila Mtu mdogo kama Mwenyekiti wa Kijiji anafungwa miaka 20 eti Kwa kutumia madaraka vibaya Kuiba Mabomba,hii sio sawa.

My Take
Muogopeni Mungu nyie Mahakimu na Watawala,hukumu ya Haki inakuja.
China kuharibu miundombinu ni adhabu ya kifo. Madhara yanayoweza kutokea ni makubwa sana kwa watu wa aina hiyo
 
Unaona, bado unadhihilisha kauli yangu kuwa upo mweupe upstairs. Nimekwambia hapo juu simtetei aliyeiba hayo mabomba ya gesi, rudia kusoma tena
Ndugu naona unanishambulia binafsi badala ya kutetea hoja. Nikikuita mpumbavu nitakuwa nimekuvunjia heshima?
 
Hasara ya 116m ndiyo 20 yrs behind bars? Je wale waliotia hasara mabilioni ya shilingi kupitia EPA,ESCROW wamefungwa miaka mingapi?
 
Back
Top Bottom