Mwenyekiti wa Kijiji afungwa Miaka 20 Jela kwa kuharibu Miundombinu ya Gesi

Utii wa sheria ni Kwa watu maskini tuu au?
Kwahiyo ni sahihi wao kwenda kuhujumu miundombinu ya TPDC kwasababu wao ni maskini? Au kwasababu walioiba mabilioni hawakamatwi? Kama unajijua ni maskini jiepushe na mambo ya kihalifu kwasababu utafungwa tu hakuna namna. Wangekuwa na hela wangeweka mawakili nguli labda wangeshinda kesi au kuambiwa walipe faini ya Tsh 50,000. Kisheria hao wana makosa. Kukata rufaa ni haki yao.
 
Sio sahihi ila adhabu iendane na kosa ,huo ni uonezi
 
China kuharibu miundombinu ni adhabu ya kifo. Madhara yanayoweza kutokea ni makubwa sana kwa watu wa aina hiyo
 
Unaona, bado unadhihilisha kauli yangu kuwa upo mweupe upstairs. Nimekwambia hapo juu simtetei aliyeiba hayo mabomba ya gesi, rudia kusoma tena
Ndugu naona unanishambulia binafsi badala ya kutetea hoja. Nikikuita mpumbavu nitakuwa nimekuvunjia heshima?
 
Hasara ya 116m ndiyo 20 yrs behind bars? Je wale waliotia hasara mabilioni ya shilingi kupitia EPA,ESCROW wamefungwa miaka mingapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…