funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 39,468
- 31,952
Mamlaka ya serikali ya kijiji au mtaa inakamilishwa na uwepo wa mtendaji wa kijiji au mtaa.
Maamuzi ya mkutano wa kijiji au mtaa yanaidhinishwa na katibu wa mkutano huo ....yaani mtendaji .
Kuitisha mkutano wa kijiji bila uwepo wa mtendaji wa kijiji au .
mtaa ni kujifurahisha tu ...
yaani ili kutimiza organogram ya mtaa au kijiji lazima uwe na mtendaji wa kijiji kama ilivyo organogram ya kata lazima uwe na mtendaji wa kata n.k
Mwenyekiti wa kijiji au mtaa huwezi kuoperate in isolation....lazima ufuate mfumo uliopo yaani halmashauri ya kijiji au mtaa na hatimaye mkutano wa kijiji au mtaa.
Hata kama ni usiku....maamuzi yote kuhusu mtaa au kijiji lazima yapate idhini ya halmashauri ya kijiji na mtaa na baadaye mkutano mkuu wa kijiji au mtaa.
Hizi ni mere checks and balances za uawajibikaji za kawaida sana kwenye mamlaka ya Serikali za wananchi.
Mwenyekiti anayetaka kujiuzulu kwa kunyimwa muhuri hajitambui na hatambui majukumu yake.
Tuna kazi ngumu sana kuelimishana