Mwenyekiti wa Kijiji cha Uchira akana kutokea kifo cha Mwanafunzi wa UDOM

Mwenyekiti wa Kijiji cha Uchira akana kutokea kifo cha Mwanafunzi wa UDOM

Katika drama Yao Walisahau au walidharau sana scene ya mwenyekiti ambaye walidhani hana madhara .
Haya Sasa mwamba huyu hapa.Nimezidi dharau mamlaka zetu,niwabovu sana wakudanganya ,yaani kitoto mno.
 
Katika drama Yao Walisahau au walidharau sana scene ya mwenyekiti ambaye walidhani hana madhara .
Haya Sasa mwamba huyu hapa.Nimezidi dharau mamlaka zetu,niwabovu sana wakudanganya ,yaani kitoto mno.
Hii script na yenyewe imedunda
 
Sasa ndugu,na familia yake wanajua mtt wao kafa kwa maradhi na wanaendelea na taratibu za maziahi,nyny watu baki kinawasumbua nini ,hamtaki kuwaamini wanandugu na familia yake !!? Mambo mengine NI ajabu Sana!!
Una umri Gani?
 
CCM wameua elimu vyuoni,serikali za Wanafunzi zimejaa wahuni ,yaani wasomi tegemeo la jamii wamekaa kimya kukemea hao wabunge Malaya wanao haribu jamii ya watanzania lakini juzi nilisikia mbunge moja akisema wakamatwe mashoga huku walawiti,wabakaji wa Wanafunzi wakiwa bungeni
Wabunge wenyewe mbele ya bunge wamekiri kuwa Kuna Wabunge mashoga
 
Ndiyo maanani mimi nina shangaa. Inakuwaje marehemu ana ndungu lakini hadi leo hawajajitokeza hadharani kukanusha au kuthibitisha taarifa hizi. Kwani hili jambo kuna nini nyuma yake. Tangu tumeambiwa msiba mbona hatujaona au kuskia taratibu za mazishi, hivi ndugu au wazazi wake hawapo? Ebu wajitokeze waseme neno kwani kuna nini cha kuwafanya wawe mabubu juu ya mtoto wao.
Watakua wana-negotiate Dau.
 
Sema tunasahau mapema au wengi hawakua na information kuhusu KESI ya Chenge na Vicky wake......niliifutilia, hii inaonekana kama ya Chenge tu SEMA at a different angle
 
Back
Top Bottom