zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Ndio hivyo jamaa anakwepa kesi kwa nguvu zote ila watu wanataka sheria ichukue mkondo hata km ni Naibu Waziri apande kizimbani, Hamza KanuniIlibidi akashitakiwe kuhusika na mauaji,hujui hilo?
KavutaIla kafa sio uvumi kafa kweli
CCM kazi wanayoNdio hivyo jamaa anakwepa kesi kwa nguvu zote ila watu wanataka sheria ichukue mkondo hata km ni Naibu Waziri apande kizimbani, Hamza Kanuni
Ana wazazi Yule MpwaMbona mnamkomalia sana mshikaji au huyo demu alimlazimisha kwa nguvu?
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Hii script na yenyewe imedundaKatika drama Yao Walisahau au walidharau sana scene ya mwenyekiti ambaye walidhani hana madhara .
Haya Sasa mwamba huyu hapa.Nimezidi dharau mamlaka zetu,niwabovu sana wakudanganya ,yaani kitoto mno.
Km kafa jamaa kwanin bado yupo mtaani anafunikafunika mafaili huku Kaua ?Kavuta
Duh...Itakua huyo Mwenyekiti hajapata amri kutoka juu walimsahau hataongea tena.
Saaana sana sanaImeshakuwa tamthilia hii, episodes mpya zinazidi kutiririka tu.
Ataikana Kauli YakeItakua huyo Mwenyekiti hajapata amri kutoka juu walimsahau hataongea tena.
Aisee..Hii script na yenyewe imedunda
Una umri Gani?Sasa ndugu,na familia yake wanajua mtt wao kafa kwa maradhi na wanaendelea na taratibu za maziahi,nyny watu baki kinawasumbua nini ,hamtaki kuwaamini wanandugu na familia yake !!? Mambo mengine NI ajabu Sana!!
Nakazia Nakazia NakaziaMABINTI SOMEMI ACHE UMALAYA.
HAO WABUNGE WAMEACHA WAKE ZAO NA FAMILIA ZAO.
SOMENI NA NYIE MUWE MAWAZORI.
SIO UMALAYA
Ndio maana kasema Dr aseme yeye taarifa kazitoa wapi?!Hao waandishi nao chenga, mwenyekiti saa zingine hajui kilichotokea hospital
Hahaahhaaha mniombee TU uzima wasije wakanirogaBroo naona unao mpaka kieleweke..🙌
tutafikatuUmekomaa sana na hii issue. Aisee. Una moyo sana. Hongera.
Wabunge wenyewe mbele ya bunge wamekiri kuwa Kuna Wabunge mashogaCCM wameua elimu vyuoni,serikali za Wanafunzi zimejaa wahuni ,yaani wasomi tegemeo la jamii wamekaa kimya kukemea hao wabunge Malaya wanao haribu jamii ya watanzania lakini juzi nilisikia mbunge moja akisema wakamatwe mashoga huku walawiti,wabakaji wa Wanafunzi wakiwa bungeni
Watakua wana-negotiate Dau.Ndiyo maanani mimi nina shangaa. Inakuwaje marehemu ana ndungu lakini hadi leo hawajajitokeza hadharani kukanusha au kuthibitisha taarifa hizi. Kwani hili jambo kuna nini nyuma yake. Tangu tumeambiwa msiba mbona hatujaona au kuskia taratibu za mazishi, hivi ndugu au wazazi wake hawapo? Ebu wajitokeze waseme neno kwani kuna nini cha kuwafanya wawe mabubu juu ya mtoto wao.
Ni upepo utapita tuNdio maana kasema Dr aseme yeye taarifa kazitoa wapi?!