Pre GE2025 Mwenyekiti wa Kijiji CHADEMA aibukia kwenye Mkutano wa Mbunge wa Hai, Apongeza Kazi za serikali ya awamu ya sita

Pre GE2025 Mwenyekiti wa Kijiji CHADEMA aibukia kwenye Mkutano wa Mbunge wa Hai, Apongeza Kazi za serikali ya awamu ya sita

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Naam, saiti hali ni tofauti kabisa na wanachosema viongozi wa chadema wanaokaa mikocheni wakiota ndoto za alinacha, saiti inamkubali Samia kwa asilimia kubwa, na ni atazuia uchaguzi?tunasema, kauli ya no reform no election sio tunda la wanachama ngazi za chini(grass root) na itakuwa biggest failure ya Lissu
========
Mwenyekiti wa kijiji wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA amewashangaza wengi baada ya kuibukia kwenye mkutano wa mbunge wa Hai Saashisha Mafuwe na kukubali kazi ambazo zimefanywa na serikali ya awamu ya sita

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Akizungumza baada ya kupewa nafasi ya kuzungumza mwenyekiti huyo amesema licha ya kwamba yeye ni Chadema ila amekoshwa na kazi ambazo zimefanywa na rais Samia Suluhu Hassan katika wilaya hiyo

Amesema moja ya vitu ambavyo vilikua kero kwa miaka mingi katika wilaya hiyo ni maji na miundombinu ya barabara ambayo kwa kiasi kikubwa imetatuliwa na hali kwa sasa imekuwa shwari.
 
Ngoja tuone
1000026518.jpg
 
CCM NI CHAMA CHA SANAA BAGAMOYO KIPO LADHI HATA WEWE KUPEWA POSHO UFANYE HAYA
 
Back
Top Bottom