YASIYOSEMWA
Member
- Jun 1, 2026
- 68
- 149
Hapa Kijijini kumeibuka mtindo wa AJABU kila mwenyekiti wetu anapokosolewa utendaji wake na wa viongozi anaosaidiana nao,kunaibuka kundi la watu wa kitongoji chake na Dini yake kumtetea kwa matusi Na kejeli
Bila kujali yanayosemwa yanaukweli kiasi gani.?
NI WAKUMBUSHE KUWA MWENYEKITI WA KIJIJI NI WAKWETU SOTE,AKIKOSEA TUNAMKOSOA SI KWAMBA ANABAGULIWA...
HIVYO WATU WA DINI YAKE NA KITONGOJI CHAKE WAPUNGUZE JAZIBA...