Mwenyekiti wa Machifu: Tumekuja kutoa taarifa Bungeni kwamba Mbunge wetu Mpina hayuko peke yake

Hawa Sasa ndio machifu sio kama wale wengine wahuni
 
Kiama 2025.
Mpina for presidency
 
Haya tumewasikia, sasa rudini mkawahi kuchunga ng'ombe zenu zisile mashamba ya watu, maana Bashe kishamwaga matrekta 400 huko.
 
Wamesahau kuwa CHIEF Mkuu ni HANGAYA ..... Walimpa wenyewe hicho cheo!!
 
Haya tumewasikia, sasa rudini mkawahi kuchunga ng'ombe zenu zisile mashamba ya watu, maana Bashe kishamwaga matrekta 400 huko.
Ongea kwa staha hujui hao wazee wanaweza kukugeuza kunguru wa Zanzibar.
 
Kazi nzuri hii pole pole mambo yatakuwa matamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…