Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Ni nani huyu!Nakuunga mkono.
Mmoja alisema kinyesi cha mifugo (ng'ombe kinaua samaki wa mto Mara).
Mwingine akasema aliokotwa jalalani pale UDSM.
Huyu anayetajwa kuwa mtaalamu wa uchumi aliwahi kustaafu ukuu wa chama chake asubuhi,jioni akarejea tena ofisini kwa uvamizi wa mitutu ya polisi akavunja milango na kukalia tena kiti kama mkuu wa chama tena.
Inawezekana hiyo cenario ikawa ni ya muda mrefu nishasahau?