Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenyekiti kakutana na ccm wenzakeMwenyekiti wa Mtaa wa Hasanga kata ya Uyole jijini Mbeya, Justine Namwinga (47) ameuawa na watu wasijulikana usiku wa kuamkia leo Januari 31 na kisha mwili wake kutelekezwa nje ya nyumba yake.
Akizungumza akiwa nyumbani kwa marehemu baba wa Justine, Hance Mwashembele amesema kuwa usiku wa kuamkia leo alisikia jiwe limerushwa juu ya bati lakini hakufuatilia.
''Nilisikia jiwe likirushwa juu ya bati usiku lakini sikutaka kufuatilia wala kuwa na mashaka na muda huo usingizi ulinipitia nikawa nimelala na ilipofika majira ya alfajiri kuna mtoto wa jirani alikuja kunigongea mlango na kunitaka nitoke nje kwa maelezo mwanangu ameuawa nje ya nyumba” amesema nakuongeza “Baada ya kutoa nje kweli nilimkuta marehemu akiwa amelala chini huku akiwa amefunikwa nguo”.
Mwananchi imefika nyumbani kwa marehemu na kukuta waombolezaji wakiwa nyumbani hapo.
Mwananchi
Lisu ali sema wa kitu Maliza sisi watakuja kwenuBadala ya kuumaliza ujinga, tunamalizana wenyewe sasa.