Mbowe inadaiwa alidiriki kuwatumia baadhi ya wanajeshi ambao sio waaminifu kwa kuwalipa fedha ili watekeleze vitendo vya Kigaidi, hivyo haijalishi huyo Hamza alikuwa kada wa ccm lkn inawezekana kabisa akashawishiwa na Mbowe/CHADEMA akafanya uhalifu.
Lema amewahi kunukuliwa akisema kuwa wakati alipo kamatwa na Polisi, wapo baadhi ya Askari huwa walikuwa wanampa taarifa za siri!!!
ipo wazi kabisa wapo baadhi ya makada wa ccm na hata viongozi waliopo serikalini ambao sio waaminifu ambao wanaweza kushirikiana ktk kutenda na kufanikisha uovu/uhalifu hivyo haijalishi kama inavyo daiwa Mbowe na hao wenzake alionwarubuni kutekeleza vitendo vya kigaidi.