mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Lkn si kasema ukweli? Viongozi waongo wako CCM.
Kwahiyo unataka kuniambia hawa waongo wote hapa wako CCM?😃😃😃😃
CHADEMA 2005 - 2014
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lkn si kasema ukweli? Viongozi waongo wako CCM.
Hakuna story mpya zingine.Kwahiyo unataka kuniambia hawa waongo wote hapa wako CCM?😃😃😃😃
CHADEMA 2005 - 2014
View attachment 1912645View attachment 1912646
Eti hakuna story mpya nyingine🙄🙄🙄Hakuna story mpya zingine.
Breaking... LOWASSA ARUDI NYUMBANI KWA FISADI WENZAKE ALIOWAZOEAKwahiyo unataka kuniambia hawa waongo wote hapa wako CCM?😃😃😃😃
CHADEMA 2005 - 2014
View attachment 1912645View attachment 1912646
Hadi magaidi wamejificha huko LumumbaCCM ni bahari....
Imekusanya wengi......
Well-said, James Mbatia
Safi sana Mbatia... Hamza ni noma yule! CCM hawajui wameze au wateme! Wamebaki kati kusoma upepo kwanza.
Ila gaidi mwenzenu huko Lumumba mmeshindwa kumdhibitindio maana Mbowe kadhibitiwa, maana inasemekana alipanga kulipua na kuuwa.