Uchaguzi 2020 Mwenyekiti wa NEC, yanayoendelea Morogoro Mjini ni sahihi kwako? Kwanini wapinzani wanyanyaswe na wasaidizi wako?

G Sam

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
11,795
Reaction score
36,704
Kwanini tume yako ya uchaguzi wanakuwa wazito hivyo kushughulikia uhuni wanaofanya wagombea wa CCM?

Je, hiyo ndiyo inayoitwa tume huru?

Unataka kila jimbo lenye mgogoro afe mtu ndipo uone kuna tatizo?

Tafadhali sana, huu ni uchaguzi mkuu wa vyama vyote na siyo uchaguzi mkuu wa CCM, tunakutaka usimamie haki kwa wote.

Yote hayo wanalazimisha apite bila kupingwa, siku zote wanatuambia anakubalika jimboni kwake kwasababu anatoa bure huduma ya kuzika sasa siwamuache apigiwe kura na hao wanaomkubali.
 
Yani anatoa asante kwa wafu?
 
body language ya huyo mama inaonyesha wazi anachoongea uongo .cheki alivyo mkavu yaani ni fix huhitaji kuwa mtaalamu wa saikolojia kujua anachoongea sicho
 
Kiusahihi hii inaitwa ubakaji.

Kwa hakika hauna tofauti kabisa na ule ubakaji wenyewe unaoadhibiwa kwa mvua 30 mahakamani.
 
body language ya huyo mama inaonyesha wazi anachoongea uongo .cheki alivyo mkavu yaani ni fix huhitaji kuwa mtaalamu wa saikolojia kujua anachoongea sicho
Ikithibitika ni kweli amechezewa rafu huo upumbavu wako utauficha mbingu gani hata usionekane.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Body language ya huyo mama inaonyesha wazi anachoongea uongo. Cheki alivyo mkavu yaani ni fix huhitaji kuwa mtaalamu wa saikolojia kujua anachoongea sicho.
Umekunywa Chai lakini? Maana naona unatoa tu utopolo wako wa Lumumba humu?
 
  • Thanks
Reactions: PNC
body language ya huyo mama inaonyesha wazi anachoongea uongo .cheki alivyo mkavu yaani ni fix huhitaji kuwa mtaalamu wa saikolojia kujua anachoongea sicho
Mkuu kuna mahali body language hua inatolewa kama ushahidi? Labda zile ishara za kutukana, vinginevyo inakua kama unapiga ramli tu. Acha Devota awasilishe ushahidi wake, wanaolalamikiwa nao wataleta utetezi wao kisha tume itaamua kama walivyofanya kwenye pingamizi la Lisu dhidi ya Magufuli
 
Point...
 
body language ya huyo mama inaonyesha wazi anachoongea uongo .cheki alivyo mkavu yaani ni fix huhitaji kuwa mtaalamu wa saikolojia kujua anachoongea sicho
Naamini ili watu wapate hasira ya kutosha kumwaga damu kama wanyarwanda lazima wachochewe kwa matendo ya wenye mamlaka na maneno kama haya. Sina uhakika aina ya watu kama wewe wa Rwanda ile hujutia au kujua athari ya maneno yao kwa waliokandamizwa
 
body language ya huyo mama inaonyesha wazi anachoongea uongo .cheki alivyo mkavu yaani ni fix huhitaji kuwa mtaalamu wa saikolojia kujua anachoongea sicho
Mkurugenzi hawezi kuengua watu wote hao, lazima mkurugenzi ni kirusi na hatakiwi kusimamia tena uchaguzi ndani ya hilo jimbo. Ataleta maafa kama walivyofanya wenzake huko Tunduma
 
Back
Top Bottom