Ikithibitika ni kweli amechezewa rafu huo upumbavu wako utauficha mbingu gani hata usionekane.body language ya huyo mama inaonyesha wazi anachoongea uongo .cheki alivyo mkavu yaani ni fix huhitaji kuwa mtaalamu wa saikolojia kujua anachoongea sicho
Umekunywa Chai lakini? Maana naona unatoa tu utopolo wako wa Lumumba humu?Body language ya huyo mama inaonyesha wazi anachoongea uongo. Cheki alivyo mkavu yaani ni fix huhitaji kuwa mtaalamu wa saikolojia kujua anachoongea sicho.
Kwani kunasiku uliyoyakubali ya upinzani?body language ya huyo mama inaonyesha wazi anachoongea uongo .cheki alivyo mkavu yaani ni fix huhitaji kuwa mtaalamu wa saikolojia kujua anachoongea sicho
Huu ni uhuni tuKiusahihi hii inaitwa ubakaji.
Kwa hakika hauna tofauti kabisa na ule ubakaji wenyewe unaoadhibiwa kwa mvua 30 mahakamani.
Mkuu kuna mahali body language hua inatolewa kama ushahidi? Labda zile ishara za kutukana, vinginevyo inakua kama unapiga ramli tu. Acha Devota awasilishe ushahidi wake, wanaolalamikiwa nao wataleta utetezi wao kisha tume itaamua kama walivyofanya kwenye pingamizi la Lisu dhidi ya Magufulibody language ya huyo mama inaonyesha wazi anachoongea uongo .cheki alivyo mkavu yaani ni fix huhitaji kuwa mtaalamu wa saikolojia kujua anachoongea sicho
Acha kutetea uovu,hata aibu huna, shame on u!body language ya huyo mama inaonyesha wazi anachoongea uongo .cheki alivyo mkavu yaani ni fix huhitaji kuwa mtaalamu wa saikolojia kujua anachoongea sicho
Point...Mkuu kuna mahali body language hua inatolewa kama ushahidi? Labda zile ishara za kutukana, vinginevyo inakua kama unapiga ramli tu. Acha Devota awasilishe ushahidi wake, wanaolalamikiwa nao wataleta utetezi wao kisha tume itaamua kama walivyofanya kwenye pingamizi la Lisu dhidi ya Magufuli
Naamini ili watu wapate hasira ya kutosha kumwaga damu kama wanyarwanda lazima wachochewe kwa matendo ya wenye mamlaka na maneno kama haya. Sina uhakika aina ya watu kama wewe wa Rwanda ile hujutia au kujua athari ya maneno yao kwa waliokandamizwabody language ya huyo mama inaonyesha wazi anachoongea uongo .cheki alivyo mkavu yaani ni fix huhitaji kuwa mtaalamu wa saikolojia kujua anachoongea sicho
Ndo mnapokimbilia eeeh??? Kama kauza jimbo basi Tume wamrudishe maana hii ni aibu kwa Tume na wasimamizi wake na wananchi tunatizama tukitafakari hatua ya kuchukua!!Kauza Jimbo huyo
Hivi ni kweli kuna viumbe vyenye sifa za binadamu vinavyolipwa buku saba kuandika ujinga humu?Kauza Jimbo huyo
Mkurugenzi hawezi kuengua watu wote hao, lazima mkurugenzi ni kirusi na hatakiwi kusimamia tena uchaguzi ndani ya hilo jimbo. Ataleta maafa kama walivyofanya wenzake huko Tundumabody language ya huyo mama inaonyesha wazi anachoongea uongo .cheki alivyo mkavu yaani ni fix huhitaji kuwa mtaalamu wa saikolojia kujua anachoongea sicho
Mnunuzi ni nani?Kauza Jimbo huyo