Mwenyekiti wa simba ana kazi Gani siku hizi

Kawe Alumni

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2019
Posts
8,685
Reaction score
12,000
Looking to this guy amebakisha kwenda ofisi ya mo na kunywa kahawa pale kwenye lijigorofa zilipo ofis za mo

Ana kazi Gani nyingine? Tunajua huyu nkwambi ni pandikizi la dewj hana mpango wowote zaidi ya kwenda kushinda na mo ofsini kwake

Kwa habari za chini chini zinasema nkwambi anataka kumsaidia mo aongeze hisa za umiliki ili aimiliki kiujumla simba

Mo atambue kuwa alipendelealwa tu kupewa uwekezaji lakini kuna watu kama kina bakhresa waliweka pesa chafu mezani kununua hisa za simba ila yeye kwa sababu uwa anajitolea vitu vidogo ndio akapewa kipaumbele

Nkwambi usione wanasimba wamenyamaza ukaona hatujui kinachoendelea

Kama mo anataka hisa zaidi mwambie turudi kuandika katiba ya simba upya acheni uhuni

Nkwambi umeshafeli siku nyingi si tunakuzom tu tunawasubiri mjichanganye we na boss wako uyo

God first
 
Mmeanza fitina, mnaona namna simba inavyofanya vizuri mnataka kuanza kuingiza migogoro ili kuibomoa....
Mleta uzi unaonekana unaumia kwa mafanikio ya simba, na sidhani kama una mchango wowote kwenye timu!
Kaa pembeni au kaungane na vyura huko mtembeze bakuli!
 
posti ya hovyo kabisa
 
Im sorry I think hujui kitu
God first
 
Hueleweki what you stand for
Kufanya kazi na maskini wa akili ni hatari sana bora ufanye kazi na maskini wa mali.

Kama akili hakuna nenda hata kwa mganga wa kienyeji akuzindike uwe na akili za kichawi.

God first
 
Ndio tatizo la vijana wahuni kama nyie vijana oya oya
Baada ya kuleta argument unaanza bla bla

Go and research nilichokiandika hakina uhalisia?
Poor young man
Huwezi kunielewa kwa sababu una umaskini wa akili.

God first
 
Ndio tatizo la vijana wahuni kama nyie vijana oya oya
Baada ya kuleta argument unaanza bla bla

Go and research nilichokiandika hakina uhalisia?
Poor young man

God first
Bora niwe mhuni ila nisiwe mpumbavu kiasi chako.

Una roho ya wivu na hiyo huwa ni hatua ya ukomavu kuelekea kwenye uchawi.

Wanachama mmekaa na hiyo timu na hata kulipa mishahara ya wachezaji ilikuwa mtihani, unataka timu irudi kule ilipotoka? Acha uchawi hata kama katiba ikibadilishwa wewe utapata hasara ipi kwani hiyo timu ni yako au ya ukoo wenu.

Kubadilishwa kwa katiba ni suala la watu wengi siyo kitu cha mtu mmoja. Hivyo watu wakiamua kubadili huwezi kuwapinga na kibandiko chako hiki.

Ona aibu.
 
Wakisikika shida, wasiposikika shida...
wabongo ni tabu sana!
Yaani anataka awasikie wakisema nini ambacho kinataka ufafanuzi wao hao anaotaka kusikia!!

Watanzania ni wachawi wa asili, wivu na roho mbaya zimewajaa..
 
Sasa kumbe unajielewa Afu unajivisha uhuni
Simba ni timu ya wanachama na kuna space ya mwekezaji mwekezaji anatakiwa afuate katiba sio kuanza kuleta janja janja

Kama mwekezaji anaoana hisa alizopewa ni ndogo turudi mezani tukapindue meza Au aje mwekezaji anayeridhika na hizo hisa
God first
 
Kama shabiki chamsing club ifanye vizur bc ayo mengine yakujiongezea hisa aongeze tu chamsing tunapiga hatua kila siku kama akizingua huko mbelen tutajua chakufanya
 
Nkwabi kukaa ofisini na Mo inakuuma nini, akinywa kahawa na Mo unapata kansa ya ngozi?

Usitake kuonesha udhaifu wa akili yako mbele ya watu, ulitaka uwe unakaa na Mo ofisini au ulitaka uwe msaidizi wake?.
 
Tunataka mwenyekiti anayetetea maslah ya mwanachama na mwekezaji asisahau hilo
Nkwabi kukaa ofisini na Mo inakuuma nini, akinywa kahawa na Mo unapata kansa ya ngozi?

Usitake kuonesha udhaifu wa akili yako mbele ya watu, ulitaka uwe unakaa na Mo ofisini au ulitaka uwe msaidizi wake?.

God first
 
Tunataka mwenyekiti anayetetea maslah ya mwanachama na mwekezaji asisahau hilo


God first
Hizi timu kubwa mbili zilikuwa na madudu sana, watu walitajirika kupitia hizi timu. Ila baada ya kubadili mfumo wa kujiendesha watu wakajua ulaji haupo tena.

Uache kuwaza anguko la timu, badala yake waza mafanikio ya timu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…