Kawe Alumni
JF-Expert Member
- Mar 20, 2019
- 8,685
- 12,000
- Thread starter
-
- #21
Tunataka klabu itajirike na muwekazaji anufaike na uwekezaji wakeHizi timu kubwa mbili zilikuwa na madudu sana, watu walitajirika kupitia hizi timu. Ila baada ya kubadili mfumo wa kujiendesha watu wakajua ulaji haupo tena.
Uache kuwaza anguko la timu, badala yake waza mafanikio ya timu.
Wekeza wewe utajirishe timu. Muda wote iko mikononi mwenu ilitajirika na nini.Tunataka klabu itajirike na muwekazaji anufaike na uwekezaji wake
Ila sio muwekezaji ndio awe ndio kila kitu
Kwa jinsi mwenyekiti wetu alivyo mzee wa ndio mzee usishangae simba kubaki kuwa maskini kama siku zote
God first
Wekeza wewe utajirishe timu. Muda wote iko mikononi mwenu ilitajirika na nini.
Mkuu labda wewe ndio mgeni kwenye mambo soka na uwekezajiNdio tatizo la vijana wahuni kama nyie vijana oya oya
Baada ya kuleta argument unaanza bla bla
Go and research nilichokiandika hakina uhalisia?
Poor young man
God first
Kuna wana mikia hawajuu kinachoendelea mbumbumbu wanamatatizo sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi sio mgeni kwa katiba ya sasa ya simba mwekezaji hisa zake hazifiki nusuMkuu labda wewe ndio mgeni kwenye mambo soka na uwekezaji
Mfumo wanaotumia Simba wa Mo kuwa mwekezaji mkubwa na ndio tuseme mmiliki wa timu ni mfumo unatumika kwa vilabu vingi ulaya ninatoa mfano kwa vilabu vya EPL
Liverpool, Chelsea, Man U,Newcastle na vingine vingi wanamfumo huo
Mo anamiliki hisa 49 iliyobaki ni wanachama ipo hata kwa Chelsea wana mwenyekiti wao na Abrovomich anamiliki below 50 lakini anapewa yeye kipaumbele kwa sababu anakuwa na kura ya veto kwenye maamuzi ya klabu hisa nyingi mmiliki mmoja ni yeye zilizobaki zimegawanyika kwa wanachama tofautiMi sio mgeni kwa katiba ya sasa ya simba mwekezaji hisa zake hazifiki nusu
Hatuwezi tukaenda kinyume na katiba
Kama kuna mwekezaji anataka achukue hisa nyingi zaidi turudi tuanze kupitia upya marekebisho ya katiba
God first
Kama shida ni kunywa kahawa ofisini kwa MO nenda na ww kanywe ht mm asb ya leo nimekunywa pale pale ofisini nikarudi kwenye mishe zangu, km shida MO kuongezewa hisa weka mzigo mezani na ww ili mwende sawa, km Rais wa Simba hasikiki ww sikika ili mwende sawa!Looking to this guy amebakisha kwenda ofisi ya mo na kunywa kahawa pale kwenye lijigorofa zilipo ofis za mo
Ana kazi Gani nyingine? Tunajua huyu nkwambi ni pandikizi la dewj hana mpango wowote zaidi ya kwenda kushinda na mo ofsini kwake
Kwa habari za chini chini zinasema nkwambi anataka kumsaidia mo aongeze hisa za umiliki ili aimiliki kiujumla simba
Mo atambue kuwa alipendelealwa tu kupewa uwekezaji lakini kuna watu kama kina bakhresa waliweka pesa chafu mezani kununua hisa za simba ila yeye kwa sababu uwa anajitolea vitu vidogo ndio akapewa kipaumbele
Nkwambi usione wanasimba wamenyamaza ukaona hatujui kinachoendelea
Kama mo anataka hisa zaidi mwambie turudi kuandika katiba ya simba upya acheni uhuni
Nkwambi umeshafeli siku nyingi si tunakuzom tu tunawasubiri mjichanganye we na boss wako uyo
God first
Mkuu unapoteza nguvu zako bure kumuelimisha mshabiki wa vyura fcKama shida ni kunywa kahawa ofisini kwa MO nenda na ww kanywe ht mm asb ya leo nimekunywa pale pale ofisini nikarudi kwenye mishe zangu, km shida MO kuongezewa hisa weka mzigo mezani na ww ili mwende sawa, km Rais wa Simba hasikiki ww sikika ili mwende sawa!
Ndo mwanzo tu Simba tunaanza onja 1/9 ya mafanikio Ushaanza kuwanga mchana kweupe, Hivi kwa Simba ya sasa na mfumo wa sasa unadhani katiba itakanyagwa kiboya?? Ndo mnatakaga kelele wakati jezi ya simba hata iuzwe 2k hununui
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunampa tu kwani mnatesekaa???..nyi vyura yanawahusu nini tukimpa..na nyie kampeni mzee akilimaliMO anataka apewe Hati za majengo ya club na uwanja wa Bunju
Mkuu anachozungumza nikama vile mkwa bi ni mt wa njanjaa ila namshaur aende tanga na hata hapo dar aulize huyo mt ameajir zaid ya watu 200 ila kweli.ukitaka utukanwe ingia kwenye siasa au mpiraHizi timu kubwa mbili zilikuwa na madudu sana, watu walitajirika kupitia hizi timu. Ila baada ya kubadili mfumo wa kujiendesha watu wakajua ulaji haupo tena.
Uache kuwaza anguko la timu, badala yake waza mafanikio ya timu.
Ukimwi Una dawa?Au wapone wanaumwa nini?Dalili za yanga kupona naziona maana wao hawaungia mkenge kama huu.