Mwenyekiti wa simba ana kazi Gani siku hizi

Mwenyekiti wa simba ana kazi Gani siku hizi

Hizi timu kubwa mbili zilikuwa na madudu sana, watu walitajirika kupitia hizi timu. Ila baada ya kubadili mfumo wa kujiendesha watu wakajua ulaji haupo tena.

Uache kuwaza anguko la timu, badala yake waza mafanikio ya timu.
Tunataka klabu itajirike na muwekazaji anufaike na uwekezaji wake
Ila sio muwekezaji ndio awe ndio kila kitu

Kwa jinsi mwenyekiti wetu alivyo mzee wa ndio mzee usishangae simba kubaki kuwa maskini kama siku zote

God first
 
Wekeza wewe utajirishe timu. Muda wote iko mikononi mwenu ilitajirika na nini.
 
Anaruhusiwa kuwekeza yeyote anayekidhi vigezo hata wewe unaweza kitu kikubwa hatutaki janja janja ya kupitia mlango wa nyuma
Wekeza wewe utajirishe timu. Muda wote iko mikononi mwenu ilitajirika na nini.

God first
 
Ndio tatizo la vijana wahuni kama nyie vijana oya oya
Baada ya kuleta argument unaanza bla bla

Go and research nilichokiandika hakina uhalisia?
Poor young man

God first
Mkuu labda wewe ndio mgeni kwenye mambo soka na uwekezaji
Mfumo wanaotumia Simba wa Mo kuwa mwekezaji mkubwa na ndio tuseme mmiliki wa timu ni mfumo unatumika kwa vilabu vingi ulaya ninatoa mfano kwa vilabu vya EPL
Liverpool, Chelsea, Man U,Newcastle na vingine vingi wanamfumo huo
 
Mi sio mgeni kwa katiba ya sasa ya simba mwekezaji hisa zake hazifiki nusu

Hatuwezi tukaenda kinyume na katiba

Kama kuna mwekezaji anataka achukue hisa nyingi zaidi turudi tuanze kupitia upya marekebisho ya katiba

Mo anamiliki hisa 49 iliyobaki ni wanachama ipo hata kwa Chelsea wana mwenyekiti wao na Abrovomich anamiliki below 50 lakini anapewa yeye kipaumbele kwa sababu anakuwa na kura ya veto kwenye maamuzi ya klabu hisa nyingi mmiliki mmoja ni yeye zilizobaki zimegawanyika kwa wanachama tofauti
 
Looking to this guy amebakisha kwenda ofisi ya mo na kunywa kahawa pale kwenye lijigorofa zilipo ofis za mo

Ana kazi Gani nyingine? Tunajua huyu nkwambi ni pandikizi la dewj hana mpango wowote zaidi ya kwenda kushinda na mo ofsini kwake

Kwa habari za chini chini zinasema nkwambi anataka kumsaidia mo aongeze hisa za umiliki ili aimiliki kiujumla simba

Mo atambue kuwa alipendelealwa tu kupewa uwekezaji lakini kuna watu kama kina bakhresa waliweka pesa chafu mezani kununua hisa za simba ila yeye kwa sababu uwa anajitolea vitu vidogo ndio akapewa kipaumbele

Nkwambi usione wanasimba wamenyamaza ukaona hatujui kinachoendelea

Kama mo anataka hisa zaidi mwambie turudi kuandika katiba ya simba upya acheni uhuni

Nkwambi umeshafeli siku nyingi si tunakuzom tu tunawasubiri mjichanganye we na boss wako uyo

God first
Kama shida ni kunywa kahawa ofisini kwa MO nenda na ww kanywe ht mm asb ya leo nimekunywa pale pale ofisini nikarudi kwenye mishe zangu, km shida MO kuongezewa hisa weka mzigo mezani na ww ili mwende sawa, km Rais wa Simba hasikiki ww sikika ili mwende sawa!
Ndo mwanzo tu Simba tunaanza onja 1/9 ya mafanikio Ushaanza kuwanga mchana kweupe, Hivi kwa Simba ya sasa na mfumo wa sasa unadhani katiba itakanyagwa kiboya?? Ndo mnatakaga kelele wakati jezi ya simba hata iuzwe 2k hununui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MO anataka apewe Hati za majengo ya club na uwanja wa Bunju
 
Kama shida ni kunywa kahawa ofisini kwa MO nenda na ww kanywe ht mm asb ya leo nimekunywa pale pale ofisini nikarudi kwenye mishe zangu, km shida MO kuongezewa hisa weka mzigo mezani na ww ili mwende sawa, km Rais wa Simba hasikiki ww sikika ili mwende sawa!
Ndo mwanzo tu Simba tunaanza onja 1/9 ya mafanikio Ushaanza kuwanga mchana kweupe, Hivi kwa Simba ya sasa na mfumo wa sasa unadhani katiba itakanyagwa kiboya?? Ndo mnatakaga kelele wakati jezi ya simba hata iuzwe 2k hununui

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unapoteza nguvu zako bure kumuelimisha mshabiki wa vyura fc
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Raha yetu mashabiki timu ifanye vizuri club iendelee na mafanikio yawelo ata kama akipewa hisa zote sisi tunataka furaha ya makombe na club kufanikiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Hizi timu kubwa mbili zilikuwa na madudu sana, watu walitajirika kupitia hizi timu. Ila baada ya kubadili mfumo wa kujiendesha watu wakajua ulaji haupo tena.

Uache kuwaza anguko la timu, badala yake waza mafanikio ya timu.
Mkuu anachozungumza nikama vile mkwa bi ni mt wa njanjaa ila namshaur aende tanga na hata hapo dar aulize huyo mt ameajir zaid ya watu 200 ila kweli.ukitaka utukanwe ingia kwenye siasa au mpira

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Dalili za yanga kupona naziona maana wao hawaungia mkenge kama huu.
 
Back
Top Bottom