Mwenyekiti wa Simba SC Mangungu, CEO Barbara, Kocha Mkuu Pablo, Msaidizi Matola, Mratibu Abbas na Meneja Rweymamu ondokeni Klabuni imetosha

Ukitandikwa ban unalalamika kumbe tabia za huko kwenu bunda hujaacha.
 

Haswa Matolaa
Ana Nini Ki mbinu ukiacha Fitina?
Huyu Ndo alitakiwa awe wa KwanzaKuondoka!
 
Hamkani si shwari tena ndani ya Kolo, wameanza kuparurana wenyewe kwa wenyewe
 
Narudia tena tangu utushauri humu simba tufanye ulozi na kuaibika kule kwa madibanga nakuona kama mwanga vile kwenye timu yetu
 
Kwahio wawaaachie timu yenu kwa sababu za Ulozi na uganga kweli aliewaita Kolo hajawakosea. Akili zenu nadhani zimevunda sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…