Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Ukitandikwa ban unalalamika kumbe tabia za huko kwenu bunda hujaacha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina Taarifa za kutosha tu na za uhakika kuwa Mmoja wenu hapa (kwa niliowataja) kupitia Mdogo wako anatumika kwa Kushirokiana nawe ili Kuihujumu vibaya Simba SC kwa Ahadi ya Kusaidiwa na Kiongozi Mstaafu mwenye Ushawishi katika Utawala wa sasa (wa Mama) ambaye anammudu ili uteuliwe Ubunge.
Kuna Watu wengine Wawili hapa (niliowataja) Wao Kazi yao Siku zote ni Kuiumiza Simba SC kwa kutoa Siri za Kambi ya Simba SC kisha mnalipwa Pesa ya maana na Kampuni ya Tapeli wa Mjini.
Kuna Mmoja hapa (kwa niliowataja) Yeye huwa hataki Ushauri, huwatukana hovyo Wachezaji, huwagawa na hajawahi kujua Kupanga Kikosi chake na hata Timu ikizidiwa huwa hana Plan B na anachojua ni Kufokafoka tu na Pua yake Kubwa iliyochongoka kama barabara ya Sinza Shekilango.
Kuna Mmoja hapa (kwa niliowataja) mara mbili alitahadharishwa kuwa lazima atenge pembeni Hela ya Unyangindo (Utamaduni wa Mwafrika) ila chenyewe na "Kilivyokondeana' kama Miwa ya Kigoma kikakataa halafu baada ya Fei Toto 'Kutufeisha' na Goli langu bora la Michuano ya ASFC haraka mno Kikaomba Radhi kwa wenye Uchungu na Simba SC yao.
Kuna Mmoja hapa (kwa niliowataja) tema huyu ningekuwa nae karibu ningezichapa nae kwa Kunikera kwani pamoja na kupenda kunyoa Para lake baada tu ya Kibu Denis (aliyekuwa ndiyo Kabeba Hirizi ya Simba SC) kugongana na Kibwana Shomary (ambaye nae pia ndiyo alibeba Hirizi ya Yanga SC juzi) alipigiwa Simu mara 17 ya Kumtoa nje Kibu Denis ili 'Unyangindo' ukamilike kupitia 'Jini' letu na Goli lirudi na hata tuongeze lingine hakusikia na kuona haitoshi akazima kabisa na Simu yake.
Ondokeni haraka sana Simba SC yetu.
You're a damn Fool.Narudia tena tangu utushauri humu simba tufanye ulozi na kuaibika kule kwa madibanga nakuona kama mwanga vile kwenye timu yetu
you too mrs damn foolYou're a damn Fool.