Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,296
- 18,027
Umejigundua kumbekumbe hadi vichaa wapo humu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umejigundua kumbekumbe hadi vichaa wapo humu
Usiwe kilaza kupita kiasi. Soma content ya maelezo yote.Mkuú usiwe kiazi kiasi hiki...umembiwa katuma copy moj tu kwao?
SwalI lenye akili.Bodi ina kazi gani? Na yeye ana nafasi gani ktk bodi...?
Acha wafu wazikane
Mnasonga mbele kuelekea Nanyumbu?Asante, tunamtakia kila la heri kwenye shughuli zake, kwa upande wetu tunasonga mbele ..SimbaNguvuMoja
Aya mchukueni basi, simba level nyingine kama huwez kwenda na kasi we lala mbele tu.bora kaachana na hilo litimu libovu linaloburuzwa na MO
Kwanini mkuu?Kama ni kweli ni taarifa nzuri sana kwangu
Jamaa sikuwahi kumkubali kabda na hata baada ya kuchaguliwa. Tena baada ya kuchagulia alikua miongoni mwa watu waliotaka kuirudisha Simba nyuma kwa kuwa upande wa kina Mzee Kilomoni waliotaka kuzusha mgogoro wa kulazimisha kuhusiana na uwekezaji wenye faida wa Mo DewjiKwanini mkuu?
Ko ndio huyu alikuwa anatoboa mtumbwi wa MO?Jamaa sikuwahi kumkubali kabda na hata baada ya kuchaguliwa. Tena baada ya kuchagulia alikua miongoni mwa watu waliotaka kuirudisha Simba nyuma kwa kuwa upande wa kina Mzee Kilomoni waliotaka kuzusha mgogoro wa kulazimisha kuhusiana na uwekezaji wenye faida wa Mo Dewji
Ndio huyohuyo mkuu, kimyakimyaKo ndio huyu alikuwa anatoboa mtumbwi wa MO?
maelezo hayajitoshelezi na taarifa mnatoa kwa kinyongo flani hivi jiachieni tuelewe tatizo liko wapi
maelezo hayajitoshelezi na taarifa mnatoa kwa kinyongo flani hivi jiachieni tuelewe tatizo liko wapi