Mwenyekiti wa Simba SC, Saidi Mkwabi ajiuzulu

Bodi ina kazi gani? Na yeye ana nafasi gani ktk bodi...?
SwalI lenye akili.
Ni bodi member akiwakilisha wanachama waliomchagua.
Huko kwa wanachama ndiyo aseme kajiuzuru ili wao wachague mwingine bila kuingiliwa na Mo
 
Mpira mmeshindwa na sasa klabuni hapakaliki mnapigana majungu tu
 
Kwanini mkuu?
Jamaa sikuwahi kumkubali kabda na hata baada ya kuchaguliwa. Tena baada ya kuchagulia alikua miongoni mwa watu waliotaka kuirudisha Simba nyuma kwa kuwa upande wa kina Mzee Kilomoni waliotaka kuzusha mgogoro wa kulazimisha kuhusiana na uwekezaji wenye faida wa Mo Dewji
 
Ko ndio huyu alikuwa anatoboa mtumbwi wa MO?
 
Sababu ya kujiuzulu ni baada ya kulamba mil 60 ambazo simba walipanga kumuhonga refarii aliyechezesha game yao na ud songo walikuwa wamekubaliana kabisa kiasi watawapa waamuzi mil 60 huyu jamaa akaingia nazo mitini hii ndo sababu ya kuachia ngazi
 
Aende mwanakwenda! Kila laheri huko aendako. Simbaaaaa nguvu moja πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…