Mwenyekiti wa Simba Swedi Nkwabi Majukumu yake ni yapi na anamtumikia nani ?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Naomba kuwauliza wanasimba wenzangu kisa cha kumpa uongozi Swedi ilikuwa nini ? aliwahi kuifanyia nini Simba , hivi aliomba mwenyewe uongozi huu au alipachikwa tu ili kutimiza malengo ya baadhi ya wachumia simba , je wanaSimba bado mnaridhika na swedi kuongoza Simba ?
 
Chura nakuangalieni paka wa mwituni mnavyoraruana.
Sipati picha wale jamaa tarehe 12/2/2019 wakikudungueni tena kwa mchina. Teh teh teh kwi kwi kwiii
 
Swali zuri sana hili, na liko valid hadi leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…