Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Naomba kuwauliza wanasimba wenzangu kisa cha kumpa uongozi Swedi ilikuwa nini ? aliwahi kuifanyia nini Simba , hivi aliomba mwenyewe uongozi huu au alipachikwa tu ili kutimiza malengo ya baadhi ya wachumia simba , je wanaSimba bado mnaridhika na swedi kuongoza Simba ?