'JOHN LUSINGU naye anajisifu ana PHD lakini kutokana na uchambuzi wake wa hoja its quite clear to me itakuwa ni PHD ya VISION COLLEGE ya yule mchungaji IRUNGU kwani niliwahi kumuuliza kuhusu mambo ya kugombea ukatibu wa jumuia ya TA kwenye Uchaguzi nkajua tu kuwa hamna kitu mle pamoja na kuwa PHD student. Na hata kama akiipata hiyo PHD basi its more likely to be a MICKEY MOUSE PHD than anything else'
Katika kusearch nimegundua kuna mtu aliandika hapa JF kuhusu Bw JOHN LUSINGU wakati wakimjadili ex Daruso Bwana OWINO.
Sitazungumzia controversial deals za huyu John Lusingu na swaiba wake Owino hasa kuhusu the charity yao !Nia yangu ni kujua ukweli kuhusu elimu ya huyu Bwana Lusingu,maana anawakilisha Watz Uk,sio mambumbu kama wananchi wa Nchimbi au Kamala.
Tanzania sasa tuna matatizo ya hizi Phd fake.Sasa hivi tuna wabunge EALA 2 wenye Phd feki.Baraza la mawaziri usiseme.
Huu upuuzi usifike London.
Kuna post hapa mtu amesema kuwa Lusingu ana Phd toka Warwick.Ni chuo kizuri na top class.Lakini vilevile kuna watu wanajua
amesomea pale VISION college cha Mtanzania anaitwa IRUNGU mtu wa huko mkoa wa Mara ambaye yuko UK siku nyingi.Chuo chake kiko hapa Stratford.Naye anajiita DR siku hizi,i dont know Phd yake ni ya wapi,maana kwenye website yake hasemi.
Kama wewe Dr Lusingu ,au unayemfahamu vizuri,tuambie facts ili majungu na uongo uishie hapa.Hatutakubali kuwa Chairman wa TA UK,wakati elimu yako ni ya utatanishi.
Jamani mwageni details hapa,ili tusiwe wababaishaji na uswahili uishie bongo