Mwenyekiti wa TA UK

Suala hapa sio kuongoza vizuri!Ni uhalali wa Phd yake!
Prove kama ana Phd toka Warwick!

Mmakonde,
Kwa kichwa chako ipi ni Tija, Uwezo wa kuongoza na utekelezaji wa kazi uliyopewa? au Shahada uliyonayo? Naamini hawa wafuatao wote wana shahada fulani: Mramba, Lowasa, Chenge, Mkapa na wengine wengi. Leo hii hawana chembe ya credibilty kwa ukosefu wao wa maadili ya uongozi wote wametokea kuwa WEZI, WADANGAYIFU, MATAPELI nk pamoja na shahada wanazobeba. Nadhani ni vema kumpima kiongozi kwa kipeo kingine, pamoja na yote kiongozi mwenye Busara na hekima hata akiwa na shahada kumi tofauti, atajiwekea Watu/Wataalamu wa kumshauri katika fani mbalimbali. Shahada pekee si kigezo cha Uongozi.

 

We "Mmakonde, kwani kuwa na nafasi ya Uwenyekiti wa TA - UK/CCM - UK ni lazima uwe na PhD? hii inaonyesha ufinyu wa fikra zako/fikra potovu, kama majibu unayo/umeyapata kutoka kwa wanaomfahamu Dr. John Lusingu si uyaseme ama umayapata kwa huyo mchungaji wako IRUNGU" pia umesema ulishawahi kumuuliza Dr. Lusingu hapo awali, kwa nini usiwasiliane naye tena kama desturi yenu.
Nimesoma article zako nyingi hapa jamvini na nimegundua kuwa you are too personal kwa baadhi ya viongozi wa TA - UK na CCM - UK, I won't be surprise that you are among them (unawakumbuka akina Samvulachole na Mzee Kifimbo?)
 

Perhaps tuko wote kupinga huu ujinga wa chama tawala unaovuka mipaka na kuwa na matawi UK.Sijiu nia yako ni nini,unaonekana ni maverick ,uko huku na huko.
I dont know about Samvulachole na Mzee kifimbo.Hebu nifahamishe.
 
Perhaps tuko wote kupinga huu ujinga wa chama tawala unaovuka mipaka na kuwa na matawi UK.Sijiu nia yako ni nini,unaonekana ni maverick ,uko huku na huko.
I dont know about Samvulachole na Mzee kifimbo.Hebu nifahamishe.


Na wewe umenipitaje hapa na huko?
"we 'do rather be known for jumping THROUGH THE HOOPS Than wriggling out of Loopholes"
 
Yebo yebo njoo basi umwage datas ... . .... ... ....

BTW utawaweza hao chichiemu?
 
Waswahili mna tabu nyie, jamaa kisa anakula mzigo asda na alisoma Vision basi mnaona hawezi pata PHD toka warwick!!! Nyie wabeba maboksi mna tabu, shule hamuendi kazi kutawaza bibi vizee tu na kuwakandia wenzenu
 
Waswahili mna tabu nyie, jamaa kisa anakula mzigo asda na alisoma Vision basi mnaona hawezi pata PHD toka warwick!!! Nyie wabeba maboksi mna tabu, shule hamuendi kazi kutawaza bibi vizee tu na kuwakandia wenzenu

Lyampinga, hapa nakupa Tano Mkuu, hapo umenena.
 
Kwani mwenyekiti ya jumuiya ana msaada gani kwa wana jamii, as far as im concerned hana shughuli yoyote zaidi ya kuganga njaa ubalozini na kutuletea sikukuu za CCM. Kwani hiyo nayo inataka Phd au hata work experience hawa machalii athee.

Haya mambo yenu Phd ndio mnafanya na viongozi wenu watunge vyeti, ingawa wana enough experience to hold those posts in the first place.
 
Kwani hii blog imebadilishwa ikaenda na akili za watu? Swali ni very simple: Lusingu ana qualifications gani? Kama unajua sema, kama hujui nyamaza. Kwani ni lazima kuuliza na kujibu majibu ya kijinga? Embu mjiheshimu. Make the best use of your time.
 
Waswahili mna tabu nyie, jamaa kisa anakula mzigo asda na alisoma Vision basi mnaona hawezi pata PHD toka warwick!!! Nyie wabeba maboksi mna tabu, shule hamuendi kazi kutawaza bibi vizee tu na kuwakandia wenzenu


Unauhakika anafanya ASDA?If so ,ndio Phd ambazo Mzungu hatakupa kazi uliyosomea.Lakini surely angakuwa na Phd ya any science angeweza kufundisha au kupata kazi ya maana.May be Uenyekiti TA unampa ahueni ya moyo,maana kufanya kazi ASDA na una Phd,that is shocking
 
I know the guy very well. His PhD is really. Na nafikiri wamepatia kumchagua. Hajakaa kikadakada kama mdogo wangu Owino, labda wamharibu sasa hivi!!
Asante Kitila Mkumbo, I also knows the Guy, he is for real. Nilisoma nae Ilboru miaka ile, alikuwa ni mmoja wa vingozi wa ukweli, jamaa ana msimamo uliosimama kiukweli. Pia jamaa ni Msabato wa ukweli na Mtanzania halisi. Mara ya mwisho nimeonana nae Dodoma mwaka jana alipokuja likizo.

Kwa vile naamini Ph.D sio moja za sifa za viongozi, ingawa fake degree ni sifa mbaya, John Lusingu is the kind of Leadership Watanzania tunawahitaji sio huko London, bali back home. Najiaminisha John yuko huko kujenga tuu uwezo, kurejea nyumbani na kuingia mjengoni, mwaka wetu ni 2015!.
 

Acha ujinga na upumbavu ndugu yangu, ungekuwa unaishi ulaya usingeuliza swali la kipumbavu hivi, kufanya kazi asda ukiwa mwanafunzi ni mambo ya kawaida sana, na hata mtu akimaliza shule kama kibarua hajapata kwenye field aliyosomea basi si vibaya kwa mtu kuendelea kula mzigo kwenye supermarket wakati anaangalia mipango mingine... if this is a personal vendetta basi tafuta kitu kingine au na wewe uligombania uchaguzi wa TA? Asiyekubali kushindwa sio mshindani!!
 
Dah watu mnapumba... Mambo kama haya ya umbeya ndio maana wengine tunawakimbia watanzania abroad maana waongeacho na matendo ni ujinga tupu.

TA which I assume ni kifupi ya Tanzanians Association?? inasaidia nini watanzania? And I hope is not funded by the Tz government. Could someone please update me on this!!!!!
 

Mmakonde,

Mawazo ya aina hii yanaturudisha nyuma sana kama Taifa.

Ni mawazo ya aina yako yaliyowafanya Watanzania wengi wanaofanya kazi za Healthcare hapa UK kukataa "FULL SCHOLARSHIPS" kutoka Serikali ya UK kusoma Nursing na Social Work Miaka ya 1990's. Hoja ya wengi wakati huo ilikuwa sikuja Ulaya kusomea kuosha watu vidonda. Wakenya na Wazimbambwe etc wengi walichangamkia hizi Scholarships na sasa wengi wapo mbali kimaisha na wengine kuweza hata kujisomesha taaluma walizotaka kama Accounting, Law na wengine wamejiendeleza kwenye Public Health etc.

Virusi hivi vilivyodumaza na kuwa watu wa kudharau na kuchagua kazi kwa kiasi hiki sijui tuliambukizwa na nani!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…