Mwenyekiti wa Taifa CHADEMA, F. Mbowe kuzungumza saa 5.30

Mwenyekiti wa Taifa CHADEMA, F. Mbowe kuzungumza saa 5.30

Mbona kunamarudio ya Mechi ya Yanga na CBE marudio nitakua nachekiii,abadilishe mdaa wa kuongea aase!!
 
Ni heri kuuawa wote siku moja na kuzikwa kwa heshima kuliko kuuliwa mmoja mmoja kwa tarehe zisizojulikana na maiti zenu kumwagiwa tindikali, Kuliwa na fisi au kupotea .
Unasema hayo Kwa kujificha kwenye ID fake? 😂

Mdude ndio Kidume wenu Ufipa st
 
Back
Top Bottom