Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Utekaji na Mauaji unayoyachekelea utakurudia, labda kama Mungu hayupoUnasema hayo Kwa kujificha kwenye ID fake? 😂
Mdude ndio Kidume wenu Ufipa st
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utekaji na Mauaji unayoyachekelea utakurudia, labda kama Mungu hayupoUnasema hayo Kwa kujificha kwenye ID fake? 😂
Mdude ndio Kidume wenu Ufipa st
Mwajiri wake 🐼Kutoka Kwa Nani
Wapi nilipochekelea simbilisi?Utekaji na Mauaji unayoyachekelea utakurudia, labda kama Mungu hayupo
Leo Wewe Hukwenda ChurchMwajiri wake 🐼
Wewe hiyo ID unayotumia ni real or alternative know as?Unasema hayo Kwa kujificha kwenye ID fake? 😂
Mdude ndio Kidume wenu Ufipa st
Ulinzi umeimarishwa 🐼Leo Wewe Hukwenda Church
Kodi Za Wananchi Zinasaidia Kuimalisha Ulinzi, Mabeberu Wapo WanatazamaUlinzi umeimarishwa 🐼
Very touchingKwa mujibu wa taarifa ya John Mrema kupitia mtandao wa X muda huu saa 5:30.
Fuatilia Updates hapa:
Mbowe akizungumza na Taifa
Ilikuwa ya kweli? Kama ya ukweli wamefanya kosa kubwa kumfutia.Amekosea akili alifutiwa kesi ya ugaidi
Mwenyekiti wa kuduma wa Saccos ndio unataka kutuaminisha kuwa anao uwezo ?angekuwa na uwezo si angefaulu kidato cha nne?Tunasubiri hotuba hivyo muhimu sana kwa mustakakabali wa Taifa letu. Mwenendo wa Taifa letu kwa sasa sio mzuri kuna ombwe kubwa la uongozi.
Wachgga banaVery touching
Kwa hiyo ww una intelligence kuliko serikaliIlikuwa ya kweli? Kama ya ukweli wamefanya kosa kubwa kumfutia.
Unamsema mwenyekiti yupi ambaye hakufaulu kidato cha nne?!Mwenyekiti wa kuduma wa Saccos ndio unataka kutuaminisha kuwa anao uwezo ?angekuwa na uwezo si angefaulu kidato cha nne?
Wewe ni CCM typical.Mwenyekiti wa kuduma wa Saccos ndio unataka kutuaminisha kuwa anao uwezo ?angekuwa na uwezo si angefaulu kidato cha nne?