Mwenyekiti wa Taifa CHADEMA, F. Mbowe kuzungumza saa 5.30

Mbona kunamarudio ya Mechi ya Yanga na CBE marudio nitakua nachekiii,abadilishe mdaa wa kuongea aase!!
 
Atumie tu busara kuepusha shari maana ujumbe umefika.
 
Ni heri kuuawa wote siku moja na kuzikwa kwa heshima kuliko kuuliwa mmoja mmoja kwa tarehe zisizojulikana na maiti zenu kumwagiwa tindikali, Kuliwa na fisi au kupotea .
Unasema hayo Kwa kujificha kwenye ID fake? πŸ˜‚

Mdude ndio Kidume wenu Ufipa st
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…