Mwenyekiti wa Taifa CHADEMA, F. Mbowe kuzungumza saa 5.30

Tunasubiri hotuba hivyo muhimu sana kwa mustakakabali wa Taifa letu. Mwenendo wa Taifa letu kwa sasa sio mzuri kuna ombwe kubwa la uongozi.
Mwenyekiti wa kuduma wa Saccos ndio unataka kutuaminisha kuwa anao uwezo ?angekuwa na uwezo si angefaulu kidato cha nne?
 
Mwenyekiti wa kuduma wa Saccos ndio unataka kutuaminisha kuwa anao uwezo ?angekuwa na uwezo si angefaulu kidato cha nne?
Unamsema mwenyekiti yupi ambaye hakufaulu kidato cha nne?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…