GE2025 Mwenyekiti wa TEF, Balile: Duniani kote jambo la kwanza amani, natamani Afrika iwe na Rais mmoja

GE2025 Mwenyekiti wa TEF, Balile: Duniani kote jambo la kwanza amani, natamani Afrika iwe na Rais mmoja

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
"Nchi yoyote ikiwa haina amani huwezi kuamka asubuhi ukaenda kazini, huwezi kufanya biashara, kwa hiyo duniani kote unakoona jambo la kwanza wanapigania Amani" Deodatus Balile - Mwenyekiti Jukwaa la Wahariri Tanzania.

Soma zaidi
 
Rais anapewa meno sana..., Inabidi Rais awe kibogoyo (abakie kuwa symbolically tu) alafu wananchi wote wa nchi zote za Afrika tuwe kama ndugu kwa kutegemeana yaani kuuziana na kununuliana - Haya mambo ya Rais mmoja itakuwa ni mwendo wa kutumia Rasilimali muda kubishana ni zamu ya nani ? Na kila Rais kujipendelea Kwao....
 
Back
Top Bottom