Rais anapewa meno sana..., Inabidi Rais awe kibogoyo (abakie kuwa symbolically tu) alafu wananchi wote wa nchi zote za Afrika tuwe kama ndugu kwa kutegemeana yaani kuuziana na kununuliana - Haya mambo ya Rais mmoja itakuwa ni mwendo wa kutumia Rasilimali muda kubishana ni zamu ya nani ? Na kila Rais kujipendelea Kwao....