Uchaguzi 2020 Mwenyekiti wa TLP Augustine Mrema kuzunguka nchi nzima kumnadi Rais Magufuli

Uchaguzi 2020 Mwenyekiti wa TLP Augustine Mrema kuzunguka nchi nzima kumnadi Rais Magufuli

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
6,067
Reaction score
10,938
Mwenyekiti wa Chama Cha TLP Taifa , Augustine Mrema amesema atazunguka nchi nzima kumnadi Rais Dkt John Magufuli kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu na kwamba haya si maamuzi yake binafsi bali ni ya mkutano mkuu wa TLP Taifa

Pia soma
Uchaguzi 2020 - TLP Updates: Fahamu Mambo matano (5) kati ya ishirini na moja (21) yanayoisukuma zaidi TLP kumuunga Mkono Mhe Dkt. John Magufuli kuelekea Okt 2020

Uchaguzi 2020 - Chama cha Labour Tanzania (TLP) chamuunga mkono Rais Magufuli, wasema "Hatuna makubaliano yoyote na CCM, Kiherehere hiki ni Uzalendo tu"

Mrembo.jpg
 
Mwenyekiti wa Chama Cha TLP Augustine Mrema amesema atazunguka nchi nzima kumnadi Rais Dkt John Magufuli kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu na kwamba haya si maamuzi yake binafsi bali ni ya mkutano mkuu wa TLP
Hivi kuna mjinga gani anaweza kupoteza muda kumsikiliza Mrema ?
 
CCM na TLP wamevunja sheria ya uchaguzi kwa kutangaza hadharani ushirikiano wao bila makubaliano maamum ya kisheria..... Msajili wa vyama huu ni ushahidi tosha kwamba wanastahili kufutwa wote wawili.

Kama hawafutwi basi na sisi tukianza kumdadi mgombea wa chama X usinune maana sheria huwa haili upande mmoja.
 
Huyo alisha sahahulika kwenye mambo ya siasa na sidhani hata kama ataitisha mkutano anaweza kupata watu angalau 100 kumsikiliza.

Back
Top Bottom