Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
Hivi kuna mjinga gani anaweza kupoteza muda kumsikiliza Mrema ?Mwenyekiti wa Chama Cha TLP Augustine Mrema amesema atazunguka nchi nzima kumnadi Rais Dkt John Magufuli kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu na kwamba haya si maamuzi yake binafsi bali ni ya mkutano mkuu wa TLP
Kwani kasema tayari kasema "nitazunguka " ina maana kampeni ikianza, MUNGU mbariki ndugu mrema [emoji16]Kampeni zimezinduliwa lini?
Huyu mzee anahitaji kupumzika, nguvu za kuzunguka nchi nzima anazipata wapuMwenyekiti wa Chama Cha TLP Augustine Mrema amesema atazunguka nchi nzima kumnadi Rais Dkt John Magufuli kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu na kwamba haya si maamuzi yake binafsi bali ni ya mkutano mkuu wa TLP
Mrema ni Mzalendo
Jumanne alitoa kadi za muda (transit) kwani walioihama Chadema kwenda CCM.Mwenyekiti wa Chama Cha TLP Augustine Mrema amesema atazunguka nchi nzima kumnadi Rais Dkt John Magufuli kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu na kwamba haya si maamuzi yake binafsi bali ni ya mkutano mkuu wa TLP
Wajinga wa CCM woteHivi kuna mjinga gani anaweza kupoteza muda kumsikiliza Mrema ?
Anapaswa kutengwa na jamii.Mwenyekiti wa Chama Cha TLP Augustine Mrema amesema atazunguka nchi nzima kumnadi Rais Dkt John Magufuli kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu na kwamba haya si maamuzi yake binafsi bali ni ya mkutano mkuu wa TLP
utashangaa wajumbe wa mkutano mkuu wapo ndani ya payroll ya lumumba.....Tanzania ina maajabu mengi kuliko tunavyodhani..Kuna wakati nilifikiri maajabu haya yatapungua kumbe ndiyo kwanza yanazidi kuongezeka.Hivi kuna mjinga gani anaweza kupoteza muda kumsikiliza Mrema ?
Mwenyekiti wa Chama Cha TLP Augustine Mrema amesema atazunguka nchi nzima kumnadi Rais Dkt John Magufuli kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu na kwamba haya si maamuzi yake binafsi bali ni ya mkutano mkuu wa TLP