Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Mwenyekiti wa chama cha TLP Taifa, Ivan Jackson Maganza ameamua kuambatana na Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makala katika kampeni za uchaguzi wa Serikali za Mitaa na kuwanadi wagombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Akiwa katika uzinduzi wa kampeni katika eneo la Manzese jijini Dar es Salaam, Maganza amesema kuwa ameamua kukupigia debe Chama Cha Mapinduzi kutokana na chama chao kutosimamisha wagombea na kuridhishwa na kazi zinazofanywa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.