Mwenyekiti wa UVCCM aliyesema Peter Zacharia katekwa na watu wasiojulikana, apandishwa kizimbani

Kamanda kachemka kesi ya kumfurahisha Mkuu hiyo itaisha hivyo hivyo...
 
Hii CCM haingalii sura ya mtu acha sheria ichukue mkondo
Chanzo cha tukio na ulichoandika hapa hakieleweki
Inasikitisha sana mkuu wa mkoa anatoa taarifa za uongo eti walienda kujaza mafuta wakati sheli ilishafungwa
Mkinyimwa hela mnaforce kupata hela sio
 
Siasa ya sasa kwa hapa Tanzania hairuhusu kukojoa huku umesimama ni lazima uchutame hata kama ni mwanaume.
 
Chanzo cha tukio na ulichoandika hapa hakieleweki
Inasikitisha sana mkuu wa mkoa anatoa taarifa za uongo eti walienda kujaza mafuta wakati sheli ilishafungwa
Mkinyimwa hela mnaforce kupata hela sio
Utetezi wao unaokuja siku zote ni kana kwamba mtu anayeandika kwenye maji yanayotiririka akitaraji atayaona maandishi yake.
 
Angalau sasa ametufahamisha watu wasiojulikana ni akina nani!
 
Sasa wanamshtaki kwa kosa lipi wakati zakaria hajapandishwa kizimbani,je kama zakaria atasema walitaka kumteka na akawazidi nguvu itakuaje?
Wangesubiri zakaria ashindwe kwanza kesi ndio wadeal Nae.
 
Unaposhangilia sheria kandamizi kwa sababu unafikiri zitamkandamiza mpinzani tu, kuna siku utajikuta zinakukandamiza hata wewe.
 
Danganya toto, watafuta kesi....... Nolle Prosequi ............ ndiyo inawalinda CCM
Mkuu habari nilizo nazo toka Tarime ni kuwa sasa hivi kuna mtifuano mkali kati ya chama chao na bwana mkubwa aliyetoa lile tamko kuwa walifuata mawese pale na ghafla wakashambuliwa watu wao.
Chama chao kinasema hawakubali uongo huo wakati mashuhuda walioona tukio lile wanasema ukweli ulio zagaa mjini pote hivyo kukubaliana na uongo huo in kukimaliza chama chao hapo na mkoa mzima.
Ajabu ni kuwa kwenye jambo hili WAKURYA wameweka utikadi pembeni na kusimamia ukweli.
Bita ni bita mura!
 
Namba za kirumi tamu kuzisoma eise!! ccm mbele kwa mbele
 
Sasa wanamshtaki kwa kosa lipi wakati zakaria hajapandishwa kizimbani,je kama zakaria atasema walitaka kumteka na akawazidi nguvu itakuaje?
Wangesubiri zakaria ashindwe kwanza kesi ndio wadeal Nae.
Panic baba! Huwa mtu akikumbwa na panic anaweza kunyea suruali akidhani kavua kwa vile kachutama tuu
 
KWANI ALIPOTOA TAARIFA WAO WALIKUWA WAMESHASEMA KUWA WAKO NAYE? KAMA SIVYO ALIKUWA SAHIHI.
 
Reactions: Pep
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…