Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dodoma, Abdulhabib Mwanyemba, amesema vyama vya upinzani vimekosa msimamo kwa kubadilisha hoja zao mara kwa mara, kutoka kudai Katiba Mpya hadi kaulimbiu ya "No Reform, No Elections" (Bila Mabadiliko, Hakuna Uchaguzi).
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Mwanyemba ameyasema hayo wakati wa ziara yake katika Kijiji cha Soya, Wilaya ya Chemba, ambapo aliambatana na Kamati ya Utekelezaji ya UVCCM ya mkoa na wilaya.