Nkarahacha
Member
- Oct 3, 2023
- 17
- 38
Kampoteza baba yake kama alivyoahidi.Alietangaza kuanza kuwapoteza watu afiwa na baba yake mzazi.
Mpe neno la faraja
View attachment 3100860
Ndo aone uchungu wa kufiwa,hapo mtu kaugua hadi mauti,kupotezwa!Alietangaza kuanza kuwapoteza watu afiwa na baba yake mzazi.
Mpe neno la faraja
View attachment 3100860
Soma Mwenyekiti UVCCM Kagera, Faris Buruhan: Tukiwapoteza wanaomtukana Rais Samia mitandaoni, Polisi msiwatafute
Hakuna ujinga hapo,kupotezwa ni Siasa!Kufa ni jambo la kawaida. Hakuna mtu ambae atabaki kwenye hii dunia. Lkn kuliunganisha hili tukio na mambo ya kisiasa nadhani itakuwa ni ujinga wa hali ya juu
Wakifa baba wa wapinzani ndiyo siasa lakini wakifa baba wa kijani siyo siasa inaonekana wewe ni kaka Mkuu wa MILEMBEKufa ni jambo la kawaida. Hakuna mtu ambae atabaki kwenye hii dunia. Lkn kuliunganisha hili tukio na mambo ya kisiasa nadhani itakuwa ni ujinga wa hali ya juu
Hayo mengine umeongezea ww.Wakifa baba wa wapinzani ndiyo siasa lakini wakifa baba wa kijani siyo siasa inaonekana wewe ni kaka Mkuu wa MILEMBE