Mwenyekiti wa UVCCM Kagera aliyetangaza kupoteza watu afiwa na baba mzazi

Mwenyekiti wa UVCCM Kagera aliyetangaza kupoteza watu afiwa na baba mzazi

Kufa ni kufa tu wajameni . Kwa nini hiki mkiripotie hadi humu JF?
 
Uchinga wa huyo kijana isiwe hukumu kwa baba yake

Biblia kitabu cha nabii Ezekiel kinasema uovu wa baba utamfaa yeye mwenyewe baba na uovu wa mtoto utamfaa yeye mwenyewe mtoto
Usiyatafsiri maandiko ili upate ladha unayoitaka wewe,uovu wa mtoto utamfaa mtoto mwenyewe ikiwa baba alijaribu ku-apply mambo mema kwenye maisha yake mtoto akayapuuza.

Vyovyote ilivyo tabia za watoto huwa nzuri au chafu kutokana na namna alivyotengenezwa na wazazi.
 
Back
Top Bottom