Tetesi: Mwenyekiti wa UVCCM Kagera kufunguliwa kesi kwa watu wanaotekwa na kupotea na njia ya jeshi la polisi kujisafisha

Matulanya Mputa

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2023
Posts
245
Reaction score
655
Kauli hii imechukuliwa kama ushahidi, pia kuna tetesi kauli ya UVCCM mkoa wa Kagera ni dalili tosha kwa yanaoendelea, polisi ni kama wanauziwa mbuzi.

Pia kauli ya Tulia Ackson aliyoitoa Mbeya ni dalili tosha UVCCM imegeuka genge la utekaji hasa viongozi wa kisiasa.

1725043390532.jpg

PIA SOMA
- Angekuwa amesema wa chama kingine au mwananchi wa kawaida angepewa kesi ya uhaini au uchochezi, Mwenyekiti UVCCM Kagera amechukuliwa hatua gani?
 
Hawatokaa wafanye hivyo
 
Uchunguzi uanzie ndani ya UVCCM hasa kwa utekaji wa viongozi wa kisiasa kutoka vyama pinzani na pia ikiwezekana kiongozi wa UVCCM mkoa wa Kagera akamatwe na kuhojiwa.

Kama Nape Nnauye aliondolewa kwa kusema ukweli kuhusu matokeo ya uchaguzi na wanavyoshinda akatumbuliwa.
Je UVCCM na kupitia CCM kama hamuhusiki na utekaji kiongozi wa UVCCM mkoa wa Kagera anangoja nini?

Wanaharakati, taasisi za dini, TLS fungueni kesi zidi ya mwenyekiti wa UVCCM Kagera au ahojiwe kauli ambayo alitoa.

Manake sehemu ya kuanzia Uchunguzi ipo wazi kulingana na kauli yake kwa watu wanaopotea na kutekwa.

Kama watanzania tulipaza sauti juu ya wabakaji na hatua zimechukuliwa je mwenyekiti wa UVCCM Kagera anangoja nini?
Je Mwenyekiti wa UVCCM Kagera analindwa na Police.

CHADEMA, TLS,Peter Madeleka, Paul Kisabo anzeni na huyo ni moja kati ya watu ambao wapo katika mfumo.

1725043390532.jpg
 
Police

View attachment 3083064
Police ndio wanaoteka watu kwa kutumwa na ccm
 
CCM imeamua kulitumia jeshi la polisi kuwavuruga wapinzani kupitia Chadema wajitoe kwenye maridhiano ya 4R, njia hii inafanywa baada ya kugundua upinzani bado upo na una nguvu.

Kwa wafuatiliaji wa hii 4R wanajua kuwa viongozi wengi wa CCM hawaipendi 4R kwa kuwa maridhiano hayo yanatishia baadhi ya nafasi za ubunge na ndicho chanzo cha msuguano wa chinichini ndani ya CCM.

Tusubiri tamko toks CCM kwa kinachoendelea kwenye siasa za sasa.
 
Kauli hii imechukuliwa kama ushahidi, pia kuna tetesi kauli ya UVCCM mkoa wa Kagera ni dalili tosha kwa yanaoendelea, polisi ni kama wanauziwa mbuzi.

Pia kauli ya Tulia Ackson aliyoitoa Mbeya ni dalili tosha UVCCM imegeuka genge la utekaji hasa viongozi wa kisiasa.

View attachment 3083054

PIA SOMA
- Angekuwa amesema wa chama kingine au mwananchi wa kawaida angepewa kesi ya uhaini au uchochezi, Mwenyekiti UVCCM Kagera amechukuliwa hatua gani?
Sisi tunamlilia Mungu tu. Damu za watu hazipotei bure
 
JWTZ ndio watatutoa kwenye makucha ya wala watu ya ccm tiss na polisi.
 
JWTZ wskishindwa kutuokoa baaasi umma utaamua.
 
Tunachoamini kwasasa adui wa watanzania ni polisi na ccm na watetezi wetu sisi watanzania tunaowaamini ni JWTZ.
JWTZ?!! [emoji44][emoji44]

Uhaini ee?!!!

Majeshi yakifanya mambo ya Burkinabe ujue laana inaingia katika taifa...hawatokoma kila uchao....
 
Kama raia hawana mtetezi unadhani kimbilio ninini? Bunge liko na serikali
Bunge linabariki utekaji
Serikali inasema utekaji haupo
Watu wanatekwa
Polisi inasingizia chama kikuu cha upunzani mambo ya uongo.

Je unadhani tegemeo pekee la wananchi ninini? " kama sio jeshi? Na jeshi likishindwa basi wananchi watachukua madaraka yao waliyoyakasimisha kwa dola bunge mahakama na jeshi hio ndio kanuni popote duniani.
 
Wananchi wakiona hawako salama inamaana mihimili ya gvt inatatizo mtetezi pekee wa haki ni jeshi la nchi maana hata mahakama siku hizi zinapokea amri ya hukumu.
 
Kama raia hawana mtetezi unadhani kimbilio ninini? Bunge liko na serikali
Bunge linabariki utekaji
Serikali inasema utekaji haupo
Watu wanatekwa
Polisi inasingizia chama kikuu cha upunzani mambo ya uongo.

Je unadhani tegemeo pekee la wananchi ninini? " kama sio jeshi? Na jeshi likishindwa basi wananchi watachukua madaraka yao waliyoyakasimisha kwa dola bunge mahakama na jeshi hio ndio kanuni popote duniani.
Binafsi sikumwelewa Dr.Tulia kwa aliyoyafanya juzi....

Kukilinda chama na serikali si vile....

Dr.Tulia atafakari hilo...

Washauri wa kisiasa na kuwajibishana ndani ya CCM wayafikiri hayo...

Utulivu ni muhimu sana kipindi hichi cha maendeleo ya TEHAMA na AKILI MNEMBA....

Jeshi si suluhisho ya tuyatakayo....
 
Aisee haya ngoja waendelee kula maisha
 
Kauli hii imechukuliwa kama ushahidi, pia kuna tetesi kauli ya UVCCM mkoa wa Kagera ni dalili tosha kwa yanaoendelea, polisi ni kama wanauziwa mbuzi.

Pia kauli ya Tulia Ackson aliyoitoa Mbeya ni dalili tosha UVCCM imegeuka genge la utekaji hasa viongozi wa kisiasa.

View attachment 3083054

PIA SOMA
- Angekuwa amesema wa chama kingine au mwananchi wa kawaida angepewa kesi ya uhaini au uchochezi, Mwenyekiti UVCCM Kagera amechukuliwa hatua gani?
Pia kauli ya Tulia Ackson aliyoitoa Mbeya ni dalili tosha UVCCM imegeuka genge la utekaji hasa viongozi wa kisiasa.📌📌📌📌🔨🔨🔨🔨
 
Back
Top Bottom