Matulanya Mputa
JF-Expert Member
- Aug 14, 2023
- 245
- 655
Hawatokaa wafanye hivyoKauli hii imechukuliwa kama ushahidi, pia kuna tetesi kauli ya UVCCM mkoa wa Kagera ni dalili tosha kwa yanaoendelea, polisi ni kama wanauziwa mbuzi.
Pia kauli ya Tulia Ackson aliyoitoa Mbeya ni dalili tosha UVCCM imegeuka genge la utekaji hasa viongozi wa kisiasa.
Police ndio wanaoteka watu kwa kutumwa na ccmUchunguzi uanzie ndani ya UVCCM hasa kwa utekaji wa viongozi wa kisiasa kutoka vyama pinzani na pia ikiwezekana kiongozi wa UVCCM mkoa wa Kagera akamatwe na kuhojiwa.
Kama Nape Nnauye aliondolewa kwa kusema ukweli kuhusu matokeo ya uchaguzi na wanavyoshinda akatumbuliwa.
Je UVCCM na kupitia CCM kama hamuhusiki na utekaji kiongozi wa UVCCM mkoa wa Kagera anangoja nini?
Wanaharakati, taasisi za dini, TLS fungueni kesi zidi ya mwenyekiti wa UVCCM Kagera au ahojiwe kauli ambayo alitoa.
Manake sehemu ya kuanzia Uchunguzi ipo wazi kulingana na kauli yake kwa watu wanaopotea na kutekwa.
Kama watanzania tulipaza sauti juu ya wabakaji na hatua zimechukuliwa je mwenyekiti wa UVCCM Kagera anangoja nini?
Je Mwenyekiti wa UVCCM Kagera analindwa na Police.
CHADEMA, TLS,Peter Madeleka, Paul Kisabo anzeni na huyo ni moja kati ya watu ambao wapo katika mfumo.
View attachment 3083064
Sisi tunamlilia Mungu tu. Damu za watu hazipotei bureKauli hii imechukuliwa kama ushahidi, pia kuna tetesi kauli ya UVCCM mkoa wa Kagera ni dalili tosha kwa yanaoendelea, polisi ni kama wanauziwa mbuzi.
Pia kauli ya Tulia Ackson aliyoitoa Mbeya ni dalili tosha UVCCM imegeuka genge la utekaji hasa viongozi wa kisiasa.
View attachment 3083054
PIA SOMA
- Angekuwa amesema wa chama kingine au mwananchi wa kawaida angepewa kesi ya uhaini au uchochezi, Mwenyekiti UVCCM Kagera amechukuliwa hatua gani?
JWTZ?!! [emoji44][emoji44]Tunachoamini kwasasa adui wa watanzania ni polisi na ccm na watetezi wetu sisi watanzania tunaowaamini ni JWTZ.
Kama raia hawana mtetezi unadhani kimbilio ninini? Bunge liko na serikaliJWTZ?!! [emoji44][emoji44]
Uhaini ee?!!!
Majeshi yakifanya mambo ya Burkinabe ujue laana inaingia katika taifa...hawatokoma kila uchao....
Binafsi sikumwelewa Dr.Tulia kwa aliyoyafanya juzi....Kama raia hawana mtetezi unadhani kimbilio ninini? Bunge liko na serikali
Bunge linabariki utekaji
Serikali inasema utekaji haupo
Watu wanatekwa
Polisi inasingizia chama kikuu cha upunzani mambo ya uongo.
Je unadhani tegemeo pekee la wananchi ninini? " kama sio jeshi? Na jeshi likishindwa basi wananchi watachukua madaraka yao waliyoyakasimisha kwa dola bunge mahakama na jeshi hio ndio kanuni popote duniani.
Lile jua liporomokeSisi tunamlilia Mungu tu. Damu za watu hazipotei bure
Aisee haya ngoja waendelee kula maishaBinafsi sikumwelewa Dr.Tulia kwa aliyoyafanya juzi....
Kukilinda chama na serikali si vile....
Dr.Tulia atafakari hilo...
Washauri wa kisiasa na kuwajibishana ndani ya CCM wayafikiri hayo...
Utulivu ni muhimu sana kipindi hichi cha maendeleo ya TEHAMA na AKILI MNEMBA....
Jeshi si suluhisho ya tuyatakayo....
Usiwaamini hao, wengi wana akili za uchawaJWTZ ndio watatutoa kwenye makucha ya wala watu ya ccm tiss na polisi.
Pia kauli ya Tulia Ackson aliyoitoa Mbeya ni dalili tosha UVCCM imegeuka genge la utekaji hasa viongozi wa kisiasa.πππππ¨π¨π¨π¨Kauli hii imechukuliwa kama ushahidi, pia kuna tetesi kauli ya UVCCM mkoa wa Kagera ni dalili tosha kwa yanaoendelea, polisi ni kama wanauziwa mbuzi.
Pia kauli ya Tulia Ackson aliyoitoa Mbeya ni dalili tosha UVCCM imegeuka genge la utekaji hasa viongozi wa kisiasa.
View attachment 3083054
PIA SOMA
- Angekuwa amesema wa chama kingine au mwananchi wa kawaida angepewa kesi ya uhaini au uchochezi, Mwenyekiti UVCCM Kagera amechukuliwa hatua gani?