PreGE2025 Mwenyekiti wa UVCCM Moshi Vijijini, Chifu Ole Shirima, atangaza nia ya kugombea

PreGE2025 Mwenyekiti wa UVCCM Moshi Vijijini, Chifu Ole Shirima, atangaza nia ya kugombea

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
KILIMANJARO: Wakati Joto la Siasa likiendelea kupanda kwakasi hapa nchini kuelekea uchaguzi mkuu Octobar 2025, Mwenyekiti wa UVCCM Moshi Vijijini Mkoani Kilimanjaro Chifu Yuvenal Ole Shirima ameeleza kuwa na yeye tayari ameshakiandikia chama chake barua yakuomba ridhaa yakutia nia ya kugombea kwenye uchaguzi huo.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Shirima hajaweka wazi kuwa anataka kugombea nafasi gani na jimbo gani ila ameeleza kuwa akipata nafasi yakugombea Udiwani sawa, Ubunge Pia Sawa na yuko tayari kuwatumikia wananchi.

 
Sema "kuwatumikia wananchi"huwa imekaa kinafiki sana
 
Back
Top Bottom