LGE2024 Mwenyekiti wa UVCCM: Msifanye makosa, chagueni CCM katika nafasi zote za Mitaa, Vijiji na Vitongoji

LGE2024 Mwenyekiti wa UVCCM: Msifanye makosa, chagueni CCM katika nafasi zote za Mitaa, Vijiji na Vitongoji

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Mwanza, Cde. Seth Bernard Masalu, anawaomba wakazi wa Mwanza wote na watanzanania kujitokeza kwa wingi kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji utakaofanyika Novemba 27, 2024 kwa Kuwachaguwa Wagombea wote wa Chama cha Mapinduzi katika nafasi zote za Mitaa, Vijiji na Vitongoji.

Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Masalu ameyasema hayo wakati akifungua kampeni wilaya ya Nyamagana kata ya Nyegezi. Pia ameowaomba wananchi wa Nyegezi kuwachagua wagombea wote wa mitaa yote 8 wanaotokana na Chama Cha Mapinduzi.
 
Back
Top Bottom