PreGE2025 Mwenyekiti wa UVCCM Ruvuma awahimiza vijana kugombea nafasi za juu katika Uchaguzi Mkuu

PreGE2025 Mwenyekiti wa UVCCM Ruvuma awahimiza vijana kugombea nafasi za juu katika Uchaguzi Mkuu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,536
Reaction score
7,194
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Ruvuma, Kelvin Charles, amewahimiza vijana wa mkoa huo kujitokeza kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika uchaguzi mkuu utakaofanyika baadaye mwaka huu.

Soma pia: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Akizungumza wakati wa ziara yake katika Wilaya ya Nyasa, Charles alisisitiza umuhimu wa vijana kushiriki kikamilifu katika siasa na uongozi kwa lengo la kuleta maendeleo katika jamii zao.

 
Siasa haimtupi mtu, huyu Kev eti leo nae anafanya ziara akiwa na msafara,

Utamu wa asali uko kwenye ulimi wake analamba tyuuh.
😂😂😂😂
 
Urais, umakamu wa Rais, Uwaziri Mkuu,uspika, Jaji mkuu, CDF,IGP, tuko tayari kugombea,tupatie utaratibu
 
Back
Top Bottom