Mwenyekiti wa UVCCM Songwe: Viongozi wa Chadema Wanaeneza Chuki kwa Maslahi Binafsi

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Songwe @fatumamnahwate amesikitishwa na namna Viongozi wa Chadema wanavyoeneza chuki na kupakiza uchochezi kwa watanzania kwa maslahi yao binafsi.

Fatuma ameeleza kuwa chama hicho kwa sasa kimegeuka kutoka kuwa chama cha siasa na kuwa kiwanda cha kuzalisha chuki,fitina na mfarakano kwa watanzania jambo ambalo likifumbiwa macho litasababisha athari kubwa nchini.

Soma Pia:UVCCM Moshi yawaonya viongozi wa dini na wastaafu wanaofanya uchochezi

Mwenyekiti ameyasema hayo katika mkutano wake na waandishi wa habari leo mkoani Songwe ambapo pia amegusia masuala mbalimbali ikiwemo namna serikali ya awamu yan sita inavyotoa fursa kwa vijana kote nchini katika sekta za kilimo, ufugaji na viwandani.

Yupo sahihi kwa 100%🐒
 
Cccm Waliotufikisha kwenye mo 29 walieneza nini chuki ama upupu?
 
Spana za chuki na uchochezi hazifai safi kabisa waziri katambi kwa kuzuia siasa uchwara
 
Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Songwe @fatumamnahwate amesikitishwa na namna Viongozi wa Chadema wanavyoeneza chuki na kupakiza uchochezi kwa watanzania kwa maslahi yao binafsi.

Fatuma ameeleza kuwa chama hicho kwa sasa kimegeuka kutoka kuwa chama cha siasa na kuwa kiwanda cha kuzalisha chuki,fitina na mfarakano kwa watanzania jambo ambalo likifumbiwa macho litasababisha athari kubwa nchini.

Soma Pia:UVCCM Moshi yawaonya viongozi wa dini na wastaafu wanaofanya uchochezi

Mwenyekiti ameyasema hayo katika mkutano wake na waandishi wa habari leo mkoani Songwe ambapo pia amegusia masuala mbalimbali ikiwemo namna serikali ya awamu yan sita inavyotoa fursa kwa vijana kote nchini katika sekta za kilimo, ufugaji na viwandani.
Watanzania hatudanganyiki teena! Ninyi ccm hamfai kabisa na lazima tuwaondoe madarakani. Mlitudanganya mambo mengi sana wajinga nyie
 
Mpaka siku tutakapoanza kuwapiga mawe mbogamboga majukwaani ndo watakubali kua wananchi tumewachoka
 
Kama mna watu kwann hamzipangui hizo spana huko majukwaani, mmezidiwa nn na chadema?!.
Kazi za chama sio tu kupanda jukwaani kueneza chuki na uchochezi halafu chama kingine kijibu hapo ni kutengeneza uhasama ndomana vyote vimezuiliwa
 
Back
Top Bottom